Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MANDHARI MWANANA YAWAVUTIA WATALII WA NDANI HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO

Afisa Masoko wa Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro akizungumza na watalii wa ndani kabla ya kuendelea na safari ya kutembelea vivutio mbalimbali viyoko katika uwanda wa Shira yakiwemo mapango ya Shira Caves.Watalii wa ndani wakichukua taswira mbalimbali mara baada ya kufika kilele cha Shira ndani ya Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mwanga wakiongozwa na meneja wao ,Innocent Silayo(wa pili toka kulia) wakishuka mara baada ya kutembelea vivutio...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UBOVU WA BARABARA WAWAKOSESHA RAHA WATALII WA NDANI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO.

Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi hiyo. Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara.
Watalii wa ndani walilazimika kupanda magari ya aina hii ili kufika katika kilele cha Shira.
Safari ya kuelekea kilele cha Shira...

 

10 years ago

Vijimambo

HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.

Mhifadhi utalii katka hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akizungumza juu ya ofa iliyotangazwa na hifadhi hiyo ya kupanda mlima huo kwa siku moja na kurudi hadi kilele cha Shira.
Afisa masoko wa KINAPA ,Antypas Mgungusi akisistiza jambo wakati akizungumzia juu ya ofa ya safafri ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku akishauri wenye sherehe zao kutumia nafasi hiyo kupanda Mlima huo kwa ajili ya kufanya sherehe zao,alitaja sherehe ambazo zinaweza fanyika katika hifadhi hiyo ni pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

WATALII WA NDANI MLIMA KILIMANJARO WAFURAHIA KUFIKA SHIRA CATHEDRAL(KANISANI)

Kundi la mwisho la watalii wa ndani wakiwa katika uwanda wa Shira wakielekea katika eneo maarufu kama Kanisani yaani Shira Cathedral. Watalii wa ndani wakipewa maelekezo ya vifaa mbalimbali yakiwemo mavazi yanayotumika kupandia mlima. Watalii wa ndani wakaianza safari ya kuelekea Kanisani Shira Cathedral. Baada ya kupanda Kilima kimojawapo watalii wakafika wakiwa hoi.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

KUNDI LA KWANZA LA WATALII WA NDANI MLIMA KILIMANJARO LAPANDA KILELE CHA SHIRA

Mabasi maalumu yanayotumika kupandisha watalii wa ndani yakiwa katika foleni tayari kwa safari ya kuelekea mlima Kilimanjaro katika kilele cha Shira. Watalii wa ndani wakipatiwa maelezo juu ya mlima Kilimanjaro kablaya kuanza safari ya kuelekea Kilele cha Shira. Watalii wa ndani wakiwa ndani ya basi kuelekea kilele cha Shira mlima Kilimanjaro.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

KINAPA YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
IDADI ya watalii wanaotembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) imeongezeka kutoka 37,000 hadi kufikia 51,287 ndani ya kipindi cha miaka 10 huku asilimia 4 na sita kati yao wakiwa ni wazawa.
Asilimia hiyo inatajwa ni ya watanzania ambao wamekuwa wakipanda Mlima huo kwa muda wa siku moja hali inayoilazimu uongozi wa hifadhi hiyo kuendelea kuhamsisha wananchi kutembelea hifadhi zetu ili kujionea urithi tuliopewa na...

 

11 years ago

Michuzi

Kamati ya ardhi,maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro

Mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi za jamii Tanzania,TANAPA,Alan Kijazi akizungumza jambo wakati kamati ya Bunge ya ardhi,maliasili na mazingira ilipotembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira wakifuatilia maelezo ya mkurugenzi mkuu wa TANAPA(hayupo picani). Naibu waziri wa maliasili na Utalii,Mahamud Mgimwa akizungumza mbele ya kamati ya Ardhi ,maliasili na mazingira ilipotembelea hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KILIMANJARO YAPONGEZA JITIHADA ZA WAFANYABIASHARA KUTANGAZA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimvisha taji,mfanyabiashara mashuhuri katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Vicent Laswai mara baada ya kufanikiwa kufika katika Kilele cha Mlima Kilimanjaro.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimkabidhi cheti mfanyabiashara mashuhuri,Vicent Laswai kwa niaba ya hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA ) mara baada ya kufanikiwa kufika katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.
RC Gama akikabidhi zawadi za T-shirt kutoka KINAPA kwa mke wa...

 

11 years ago

Michuzi

MANDHARI ZA KUVUTIA KUZUNGUKA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA SAANANE

KISIWA CHA SAANANE NI MOJA KATI YA VIVUTIO  VILIVYOKO CHINI YA HIFADHI ZA TAIFA ,TANZANIA (TANAPA) ,TIZAMA MANDHARI ZA KUVUTIA KUZUNGUKA HIFADHI HIYO ILIYOKO JIJINI MWANZA. Video imepigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheria zinachangia uharibifu Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro

SHERIA za usimamizi wa masuala ya hifadhi na misitu asili zimebainika kuwa sababu ya kuwepo kwa vitendo vya uharibifu wa mazingira katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. Sheria zinazotumika hadi sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani