Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zuhura Yunus akukaribisha Forodhani

Wakati wa sherehe za miaka 50 ya mapinduzi Zanizbar kuna eneo maarufu ambalo wengi hawathibutu kukosa kufika. Ikiwa hujafika huko,basi unakosa mengi Zuhura Yunus anakukaribisha Forodhani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

ZUHURA YUNUS: Haikuwa ndoto yangu kuwa mtangazaji

Siyo jambo la ajabu kwa wasikilizaji wa redio au televisheni kuiga sauti za watangazaji kutokana na umahiri wanaouonyesha wawapo kazini.

 

10 years ago

Mwananchi

FORODHANI : Fukwe ya mapochopocho visiwani Zanzibar

Kwa wale wanaopenda kula vyakula vya baharini au vile vyenye mahadhi ya Kizanzibari, Forodhani ndiyo mahali pake, ni sehemu tulivu iliyo kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, lakini iliyotengenezwa kwa mandhali ya bustani kwa watu kustarehe na kupata vyakula.

 

11 years ago

Mwananchi

Forodhani: Mfano mzuri wa utalii wa chakula

Moja ya maeneo yenye vivutio vikubwa kwa utalii mjini Zanzibar ni Forodhani, mbele ya jumba la makumbusho la Betel-al-jaib- Nyumba ya Maajabu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Welcome 20th July at floating restaurant forodhani Zanzibar

IMG_1020Ticket za Karibu Fashion Festival zinapatikana sehemu zifuatavyo Waiz Fashion Shagahani Stree, Adam Fashion Vuga Street na Tatu Restaurant..

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kutupigia kupitia 0764 228 855

Karibu sana.

IMG_0972Baadhi ya mavazi ya Waiz Fashion  yanayopatikana Shagahani Stree Zanzibar,

IMG_1021

 

11 years ago

Mwananchi

Zuhura Ally: Tunajihudumia wenyewe timu ya taifa

Huwezi kuitaja timu ya taifa ya mpira wa wavu ya wanawake bila kulitaja jina la nahodha wa timu hiyo, Zuhura Ally kwani ni mchezaji anayecheza bila kukata tamaa hata kama timu yake inafungwa.

 

10 years ago

Vijimambo

KIJAKAZI YUNUS MKOMBOZI WA WANAWAKE LINDI

YUPO TAYARI KUWATETEA NA KUWAUNGANISHA AKINA MAMA WA LINDI KIMAENDELEO.

 

10 years ago

TheCitizen

Yunus principle: the shunned weapon against disease, poverty

In his address to the Millennium Development Goals (MDG) advocacy group at the UN General Assembly in New York last week, celebrated Bangladeshi social entrepreneur Prof Muhammad Yunus delivered a jaw-dropping expose of how he almost single-handedly improved the health and wealth of millions of his countrymen and countless others across the globe.

 

11 years ago

Dewji Blog

MO akutana na mshindi wa tuzo ya nobeli Muhammad Yunus

BqUkXt-IYAALH2w

Mjasiriamali mchapakazi na Mbunge Kijana nchini Tanzania, Mohammed Dewji (MO) akutana uso kwa uso na mshindi wa tuzo za Nobel Muhammad Yunus akiwa safarini nchini Marekani, baada ya ku-tweet kupitia akaunti yake ya Twitter kama inavyosemeka hapo chini.

 Unaweza kum-follow @moodewji

mo nobel prize winner

 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani