Mfumo himaya moja ya Forodha warahisisha utendaji bandarini
MFUMO wa Himaya moja ya Forodha kwa nchi za Afrika Mashariki umeongeza shehena ya mizigo kutoka nchi jirani inayopitishwa katika bandari ya Dar es Salaam, na kuwezesha muda wa kusafirisha bidhaa na kuzifikisha katika nchi husika kupungua kutoka siku saba hadi siku mbili.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-XAc4TY_7Ld0/VYroPWhqWmI/AAAAAAAHjmc/hVzH-GWrbz8/s72-c/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
Mawakala wa forodha nchini waaswa kujisajili kwenye mfumo wa himaya moja ya forodha ya afrika mashariki(SINGLE CUSTOM TERRITORY)
Na Hassan Silayo-MAELEZO Mawakala wa Forodha nchini wameaswa kujisajili katika mfumo wa uondoshaji mizigo wa Himaya moja ya Forodha ya Afrika Mashariki (Single Custom Territory) utakao anza kutumika hivi Karibuni. Hayo yamesemwa na Kamishna wa Forodha Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Kabisi wakati mkutano na Viongozi na wanachama wa Chama cha Mawakala wa Forodha (TAFA) Bw. Kabisi alisema kuwa mawakala wa forodha nchini hawana budi kufanya hivyo ili kuwezesha uondoshwaji wa...
10 years ago
Vijimambo24 Jun
MAWAKALA WA FORODHA NCHINI WAASWA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA HIMAYA MOJA YA FORODHA YA AFRIKA MASHARIKI ( SINGLE CUSTOM TERRITORY )
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1280.jpg)
10 years ago
MichuziTRA YATOA SEMINA YA HIMAYA MOJA YA FORODHA KWA TUME YA MIPANGO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Mfumo wa Tancis wasaidia kuondoa urasimu, wizi bandarini
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfumo mpya wa forodha wa kielektroniki (Tancis) umesaidia kuondoa urasimu na wizi wa makontena Bandarini. Ofisa Mwandamizi wa TRA, Felix Tinkasimile, alisema hayo katika...
11 years ago
MichuziMabadiliko ya mfumo wa Serikali katika utendaji kazi kupata mafanikio haraka
Mfumo wa BRN unaweka wazi malengo pamoja na kuainisha uwajibikaji kwa kila mshiriki mmoja au taasisi...
9 years ago
MichuziTANAPA YAANZA KUBADILI MFUMO WA UTENDAJI KUTOKA KIRAIA KWENDA JESHI USU
Shirika la Hifadhi za Taifa limeanza rasmi kutumia mfumo wa jeshi usu kutoka ule wa kiraia katika utendaji kazi wake ikiwa ni hatua mojawapo ya kuongeza ufanisi katika shughuli za uhifadhi.
Jumla ya wahifadhi 40 walihitimu mafunzo ya Awamu ya kwanza ya kubadili mfumo wa utendaji kazi kutoka ule wa kiraia kwenda wa jeshi usu kwa kwa viongozi maafisa wa ngazi ya kati “Transformation Leadership Course for Middle Cadre Wardens” yaliyofanyika katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi hivi karibuni.
Mfumo...
Jumla ya wahifadhi 40 walihitimu mafunzo ya Awamu ya kwanza ya kubadili mfumo wa utendaji kazi kutoka ule wa kiraia kwenda wa jeshi usu kwa kwa viongozi maafisa wa ngazi ya kati “Transformation Leadership Course for Middle Cadre Wardens” yaliyofanyika katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi hivi karibuni.
Mfumo...
9 years ago
MichuziMFUMO WA KIMTANDAO UNAOWEZESHA KUPOKEA NA KUHAMISHA MIAMALA YA KIFEDHA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE UNAORATIBIWA NA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)
MFUMO WA KIMTANDAO UNAOWEZESHA KUPOKEA NA KUHAMISHA MIAMALA YA KIFEDHA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE UNAORATIBIWA NA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) YAANI ‘TANZANIA INTER-BANK SETTLEMENT SYSTEM’ (TISS) WAONGEZA UFANISI KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM
Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga, akibadilishana mawazo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire, leo asubuhi kabla Kaimu Katibu Mkuu hajaongea na waandishi wa habari pamoja na wadau kuhusu...
10 years ago
BBCSwahili25 Aug
Boko Haram yatangaza himaya yao Nigeria
Boko Haram yatangaza ‘Taifa la Kiislamu’ kaskazini mwa Nigeria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania