WANACHAMA WA CHAMA CHA MAWAKALA WA FORODHA TANZANIA WAJIUNGA NA PSPF
![](http://api.ning.com:80/files/viirmOBcoEHoLK7ABVaqf26msbIVPF6W2lqFuOFfQQlYEDD3wJnGLJh2ISmBhPO2-UoyuIpYDOEWiMKq4ls8QQfx57ir7HyO/1.jpg?width=650)
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florence Turuka, akihutubia wanachama wa chama cha mawakala wa forodha Tanzania (TAFFA), mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa TAFA kwenye ukumbi wa Karimjee . Meneja Masoko, Mawasiliano na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin, akiwaeleza wanachama wa Chama cha mawakala wa forodha Tanzania TAFA, juu ya hufuma mbalimbali zitolewazo na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-XAc4TY_7Ld0/VYroPWhqWmI/AAAAAAAHjmc/hVzH-GWrbz8/s72-c/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
Mawakala wa forodha nchini waaswa kujisajili kwenye mfumo wa himaya moja ya forodha ya afrika mashariki(SINGLE CUSTOM TERRITORY)
10 years ago
Vijimambo24 Jun
MAWAKALA WA FORODHA NCHINI WAASWA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA HIMAYA MOJA YA FORODHA YA AFRIKA MASHARIKI ( SINGLE CUSTOM TERRITORY )
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1280.jpg)
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/137.jpg)
MGEJA, GUNINITA WAKITOSA CHAMA CHA MAPINDUZI, WAJIUNGA CHADEMA
10 years ago
Habarileo08 Aug
Mawakala wa Forodha nchini watishia kugoma
CHAMA cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kimetishia kugoma baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuzitaka kampuni hizo kuwa na Sh milioni 100 kama inataka kupata leseni ya uwakala.
5 years ago
CCM BlogCHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) CHATOA MAELEKEZO KWA WANACHAMA WAKE KUJIKINGA NA CORONA
Kwa sisi madaktari na wahudumu wa afya ya kinywa na meno tujikumbushe yafuatayo:
1. Kama ilivyo ada tuendelee kutumia vikinga maaambukizo kama mask, gloves, mawani, nk wakati tunahudumia wagonjwa...
11 years ago
Habarileo24 Jan
Chama cha mawakala wa pesa za simu chasajiliwa
CHAMA cha mawakala wa huduma za pesa za simu za mkononi kimekamilisha usajili wa chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari leo msemaji wa chama hicho, Stanford Mbengane alisema kuwa usajili wa chama hicho umekamilika tangu Januari 10 mwaka huu.
11 years ago
MichuziTANZANIA NA MALAWI ZASAINI MKATABA WA KUANZISHA KITUO CHA PAMOJA CHA UHAMIAJI NA USHURU WA FORODHA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yeXSmo-jSdE/Vh1Z9jELHxI/AAAAAAAAbGw/dJaqrxpUDU8/s72-c/Wanachama%2Bwapya.jpg)
PSPF YAVUNA WANACHAMA KUTOKA KIKUNDI CHA WAJASIRIAMALI WA VOWET
![](http://1.bp.blogspot.com/-yeXSmo-jSdE/Vh1Z9jELHxI/AAAAAAAAbGw/dJaqrxpUDU8/s640/Wanachama%2Bwapya.jpg)
Meneja wa Mfuko wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mwanjaa Sembe, (aliyesimama), akiwaongoza wanachama wapya waliojiunga na mpango huo, wakati wa warsha ya siku moja iliyowakutanisha maafisa na mabalozi wa PSPF, na wanakikundi wa Sauti ya Wanawake Wajasiriamali Tanzania, (VOWET), kwenye ukumbi wa Belmonte jijini Dar es Salaam, Oktoba 13, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said)
Na K-VIS MEDIA
MFUKO wa Pensheni wa PSPF, umezidi k”kupenya’ kwenye sekta...
10 years ago
GPLCHAMA CHA CCM IRINGA CHAWASHANGAA CHADEMA KUZUIA WANACHAMA WAKE KUNYWA MAZIWA