MGEJA, GUNINITA WAKITOSA CHAMA CHA MAPINDUZI, WAJIUNGA CHADEMA
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/137.jpg)
Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Sheikh, Rajab Katimba (kushoto) akiwa na  aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga ambaye ameachana na chama hicho, Khamis Mgeja, na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ambaye naye amehamia Chadema. Mgeja akionyesha ishara ya Chadema baada ya kutoa tamko la kujiuzulu. Wanahabari wakichukua matukio katika hafla hiyo. Baadhi ya makada wa CCM...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Mgeja, Guninita wajiengua CCM, wajiunga Chadema
9 years ago
MichuziMGEJA,GUNINITA WANGATUKA CCM ,WAJIUNGA CHADEMA
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Mgeja, Guninita waibwaga CCM, wajiunga Chadema
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amesema chama hicho kimeacha misingi yake na sasa kimegeuka kuwa kampuni ya familia moja.
Mgeja pia amempiga kijembe mgombea urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli akimfananisha na dereva ambaye hajaweza kuendesha gari vizuri ‘learner’ akimaanisha kuwa hana uwezo wa kukiongoza chama hicho.
Mgeja alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana alipotangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama...
10 years ago
TheCitizen13 Aug
Mgeja, Guninita quit CCM, join Chadema
10 years ago
Michuzi27 Feb
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-y4G5rn7r2Mg/XuDXRxdDKhI/AAAAAAALtXE/CTIjtAhjhH0m50ZE7NcNosFlj6FtVeBGgCLcBGAsYHQ/s72-c/5..AA_-768x512.jpg)
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-y4G5rn7r2Mg/XuDXRxdDKhI/AAAAAAALtXE/CTIjtAhjhH0m50ZE7NcNosFlj6FtVeBGgCLcBGAsYHQ/s640/5..AA_-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/7-1AA-1024x803.jpg)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/8AA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/9AAA-1024x861.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/10AA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/12AAA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/13AA-1024x688.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/14AAA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/15AAA-1024x657.jpg)
10 years ago
MichuziUJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR
9 years ago
TheCitizen14 Aug
Mgeja, Guninita ditch CCM
9 years ago
Daily News14 Aug
Fate of repeating constituencies next week; Mgeja, Guninita quit
Daily News
THE fate of 11 constituencies, which have been directed to repeat preferential polls, will be known next Monday when the Central Committee (CC) of CCM will sit to endorse names of the candidates. The constituencies are Ukonga, Makete, Busega, Kilolo, ...