OPERESHANI MAALUMU YA POLISI MORO KUEKELEA SIKUKUU YA X-MAS YABAMBA 23 MIONGONI MWAO RAIA WAKIGENI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-2JukoGf1Et4/VoIBLyjDeVI/AAAAAAAIPGQ/wja2nUXr-qY/s72-c/9a483383-5c84-4ebf-822c-bfbf4e40b47a.jpg)
Na John Nditi, Morogoro POLISI mkoani Morogoro imewatia mbaroni watu 23 kati ya hao wawili wakiwa ni wahamiaji haramu raia wa kutoka nchini Ethiopia walioingia nchini bila kuwa na kibari wala pasi za kusafiria wakiwa njiani kuekelea Afrika Kusini. Raia hao walikamatwa wakiwa Mikumi, wilayani Kilosa. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema hayo Desemba 28, mwaka huu (2015) wakati akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu matukio mbalimbali yaliyotokea kuanzia Desemba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLALBINO WASISITIZA UMOJA MIONGONI MWAO KWA FAIDA YAO
10 years ago
MichuziRAIA WAKIGENI 2040 WAKAMATWA WAKIWA NA VITAMBULISHO VYA KUPIGIA KURA
10 years ago
GPL27 Dec
10 years ago
GPLMWAIPAJA AKITOA BURUDANI DAR LIVE SIKUKUU YA X-MAS
10 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF WAAHIDI KUANGUSHA SHOO YA KUFA MTU DAR LIVE SIKUKUU YA X-MAS
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-3NOjMuMBiGE/VTZtVEdl-QI/AAAAAAAHSRk/2SivmDfdMKs/s72-c/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
TAARIFA MAALUMU KUTOKA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM JUU YA WAHALIFU WALIOTIWA NGUVUNI
![](http://2.bp.blogspot.com/-3NOjMuMBiGE/VTZtVEdl-QI/AAAAAAAHSRk/2SivmDfdMKs/s1600/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xiqOiJETtg0/Vn0Bh5Uj5VI/AAAAAAAIOk4/kus74-FPyJw/s72-c/DV7A321810.jpg)
SALAMU ZA X- MAS NA MWAKA MPYA 2016 KUTOKA KWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-xiqOiJETtg0/Vn0Bh5Uj5VI/AAAAAAAIOk4/kus74-FPyJw/s640/DV7A321810.jpg)
KAULI MBIU: "ULINZI UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE"KUMBUKA: WHEN YOU SEE SOMETHING, SAY SOMETHING.TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UTULIVU SIKUKUU YA KRISMAS NA MWAKA MPYA, 2016.
AHSANTENI!!!!
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-YfeWR9TFKNI/Va0De2WQO_I/AAAAAAAAWak/82cqhBYxmNo/s72-c/1%2B%25281%2529.jpg)
NMB BANK YALIPATIA JESHI LA POLISI VIFAA VYA MICHEZO, NI KWA AJILI YA TIMU ZA POLISI DAR NA MORO
![](http://4.bp.blogspot.com/-YfeWR9TFKNI/Va0De2WQO_I/AAAAAAAAWak/82cqhBYxmNo/s640/1%2B%25281%2529.jpg)
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Raia wawili, askari wauawa Moro, kituo chachomwa moto