Raia wawili, askari wauawa Moro, kituo chachomwa moto
Watu watatu, akiwamo askari polisi wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya kuzuka mapambano kati ya polisi na raia katika Kijiji cha Igwati, Tarafa ya Malinyi Wilaya ya Ulanga, Morogoro.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
KITUO CHA POLISI BUNJU CHACHOMWA MOTO

10 years ago
Michuzi
NEWZZ ALERT:KITUO CHA POLISI BUNJU CHACHOMWA MOTO.



11 years ago
Mtanzania07 Sep
Askari wawili wauawa, SMG 10, risasi na mabomu vyaporwa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
NA PETER MAKUNGA, BUKOMBE
HOFU ya usalama wa raia na mali zao imetanda baada ya askari polisi wawili kuuawa na bunduki 10 aina ya SMG kuporwa katika Kituo Kikuu cha Polisi wilayani hapa.
Uporaji huo umefanywa na watu ambao hawajafahamika baada ya kuvamia kituo hicho saa 9:45 alfajiri na kuwashambulia askari polisi waliokuwa zamu ambapo wawili waliuawa na wengine watatu walijeruhiwa.
Mbali na kupora SMG 10, pia inadaiwa wamefanikiwa kupora risasi...
10 years ago
GPL
KITUO CHA POLISI IKWIRIRI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI, ASKARI WAWILI WAUWAWA
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Majambazi yateka kituo cha polisi, yaua askari wawili, yapora SMG tano
10 years ago
Michuzi21 Jan
BREAKING NYUZZZZ.....: KITUO CHA POLISI IKWIRIRI,RUFIJI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI,ASKARI WAWILI WAUWAWA
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo,huku askari wanaodaiwa kupotenza maisha ni Cop. Edgar aliyekatwa mapanga na Wp Judith aliyepigwa risasi ubavuni upande wa kulia na kutokea upande wa kushoto.
Hivi sasa hali ni tete katika eneo hilo na watu wamekusanyika huku polisi wakiongeza...
10 years ago
VijimamboASKARI WANNE NA RAIA WATATU NDIO WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE UVAMIZI WA KITUO KIDOGO CHA POLISI STAKISHARI UKONGA.
Askari wanne na raia watatu wamefariki Dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kituo kidogo cha Polisi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar kuvamiwa na watu wanaosadikika majambazi.
Majambazi hao waliokadiriwa kua wanane walivamia kituo hicho mida ya saa 4 usku Jumapili July 12, 2015 usiku wa kuamkia leo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Enerst Mangu amesema lengo la majambazi hayo ilikua ni kuiba silaha zilizokuwepo...
10 years ago
Michuzi
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Kituo cha Redio chachomwa Z’bar
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
WATU wasiojulikana wakiwa na silaha wamevamia studio za kituo cha Radio Hits FM kilichopo eneo la Migombani mjini Unguja na kukichoma moto kwa kutumia mafuta yanayosadikiwa kuwa ni petroli.
Akizungumza jana mjini Unguja, msemaji wa kituo hicho, Juma Ayoub Amohamed, alisema tukio hilo lilitokea saa 7:30 usiku wa kuamkia jana ambapo zaidi ya watu 15 walivamia studio hiyo na kufanikiwa kuchoma moto.
Alisema hadi sasa bado hawajajua nini chanzo cha kufanyiwa hivyo, na...