KITUO CHA POLISI BUNJU CHACHOMWA MOTO
![](http://3.bp.blogspot.com/-dEpix1LMtsc/VZ-cJBCpSCI/AAAAAAAAhL8/VYViimWRyxI/s72-c/polis.jpg)
Baadhi ya wakazi wa Bunju wamevamia na kukichoma moto kituo cha polisi Bunju A baada ya polisi kufyatua mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya wananchi waliofunga barabara baada ya mwanafunzi mmjoa kugongwa na gari na kufariki.Polisi walilazimika kukimbia na gari lao baada ya kuona wananchi wanawazidi nguvu kwa kurusha mawe na kukiacha kituo hicho bila ya ulinzi ndipo wananchi walipokivamia kituo kuvunja milango na kuwatoa wahalifu waliokuwa wakishikiliwa na kisha kukichoma moto
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HIxW113On4Q/VZ_EquYVmtI/AAAAAAAHoeI/j1iZ7Z_Y7GM/s72-c/AuTHygbbEvvhqmwtA-VpyrinymCLKlZjmyP7AVBNl5go.jpg)
NEWZZ ALERT:KITUO CHA POLISI BUNJU CHACHOMWA MOTO.
![](http://2.bp.blogspot.com/-HIxW113On4Q/VZ_EquYVmtI/AAAAAAAHoeI/j1iZ7Z_Y7GM/s640/AuTHygbbEvvhqmwtA-VpyrinymCLKlZjmyP7AVBNl5go.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ynmmg7RdZJ0/VZ_Eqp5LetI/AAAAAAAHoeM/hoF7V1Przko/s640/h.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-gl3z84pQiB0/VZ_E5IVvKsI/AAAAAAAHoeY/6T7vnXH6uGM/s640/ArvPeAC8v13VHhmXjdJQmephA7sFdibBihk4NAYgf1Qu.jpg)
10 years ago
Habarileo11 Jul
Bunju wateketeza kituo cha Polisi
WANANCHI wa Bunju jijini Dar es Salaam wamechoma moto kituo cha polisi cha Bunju A na gari lililodaiwa kusababisha ajali ya mwanafunzi na kusababisha kifo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcIoBsHDsg2raRtiBswvWhxn29gFILSpaGzydMW66peqdWi3*NCsUURdUlBraNsvcwWzFbHlGvuh9dH6uVeSDh3Z/bunjukituo.png?width=650)
WANANCHI BUNJU WACHOMA KITUO CHA POLISI
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Raia wawili, askari wauawa Moro, kituo chachomwa moto
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Kituo cha Redio chachomwa Z’bar
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
WATU wasiojulikana wakiwa na silaha wamevamia studio za kituo cha Radio Hits FM kilichopo eneo la Migombani mjini Unguja na kukichoma moto kwa kutumia mafuta yanayosadikiwa kuwa ni petroli.
Akizungumza jana mjini Unguja, msemaji wa kituo hicho, Juma Ayoub Amohamed, alisema tukio hilo lilitokea saa 7:30 usiku wa kuamkia jana ambapo zaidi ya watu 15 walivamia studio hiyo na kufanikiwa kuchoma moto.
Alisema hadi sasa bado hawajajua nini chanzo cha kufanyiwa hivyo, na...
5 years ago
BBCSwahili29 May
Mauaji ya George Floyd: Waandamanaji wakichoma moto kituo cha polisi cha Minneapolis, Marekani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR4VB19Ld69byodT*AtSDY9Br9DaioVCc84GzSurLRkaV2Tz6VCU*GYU9ef0NS6R2FVx3JPP6s4-7I5nRoQEL6Uu/backUWAZI.gif)
HIVI NDIVYO KITUO CHA POLISI KILIVYOCHOMWA MOTO!
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Mwanafunzi agongwa, wakazi wachoma moto kituo cha polisi
11 years ago
Michuzi12 Feb
BREAKING NEWS;KITUO CHA POLISI MOSHI KINAWAKA MOTO
HABARI ZAIDI TUTAZIDI KUWALETEA KADIRI YA ZITAKAVYOKUWA ZIKIINGIA.