NEWZZ ALERT:KITUO CHA POLISI BUNJU CHACHOMWA MOTO.
![](http://2.bp.blogspot.com/-HIxW113On4Q/VZ_EquYVmtI/AAAAAAAHoeI/j1iZ7Z_Y7GM/s72-c/AuTHygbbEvvhqmwtA-VpyrinymCLKlZjmyP7AVBNl5go.jpg)
Baadhi ya Polisi wakiwatawanya watu (hawapo pichani) kwa mabomu ya machozi mara baada ya tukio la kuchomwa moto kituo cha polisi Bunju, tukio hilo limetokea.Kituo cha polisi Bunju kilichopo nje kidogo ya jiji la Dar kimechomwa moto na baadhi ya Wananchi kufuatia tukio la kudaiwa kwa Mwanafunzi mmoja kugongwa na gari na kufa papo hapo
Sehemu ya kituo hicho cha Polisi Bunju kikiteketea kwa moto mara baada ya kuchomwa moto na wananchi kufuatia tukio la kudaiwa kwa Mwanafunzi mmoja kugongwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-dEpix1LMtsc/VZ-cJBCpSCI/AAAAAAAAhL8/VYViimWRyxI/s72-c/polis.jpg)
KITUO CHA POLISI BUNJU CHACHOMWA MOTO
![](http://3.bp.blogspot.com/-dEpix1LMtsc/VZ-cJBCpSCI/AAAAAAAAhL8/VYViimWRyxI/s640/polis.jpg)
10 years ago
Habarileo11 Jul
Bunju wateketeza kituo cha Polisi
WANANCHI wa Bunju jijini Dar es Salaam wamechoma moto kituo cha polisi cha Bunju A na gari lililodaiwa kusababisha ajali ya mwanafunzi na kusababisha kifo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcIoBsHDsg2raRtiBswvWhxn29gFILSpaGzydMW66peqdWi3*NCsUURdUlBraNsvcwWzFbHlGvuh9dH6uVeSDh3Z/bunjukituo.png?width=650)
WANANCHI BUNJU WACHOMA KITUO CHA POLISI
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Raia wawili, askari wauawa Moro, kituo chachomwa moto
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TtzphOW4VFE/U-73WEFvswI/AAAAAAAF_-4/0eM5uKKbZiQ/s72-c/5c613b59a6c16d60985faae9e412a6e2.jpg)
news alert: Moto wateketeza kituo cha kupozea umeme cha mjini Moshi asubuhi hii
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Kituo cha Redio chachomwa Z’bar
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
WATU wasiojulikana wakiwa na silaha wamevamia studio za kituo cha Radio Hits FM kilichopo eneo la Migombani mjini Unguja na kukichoma moto kwa kutumia mafuta yanayosadikiwa kuwa ni petroli.
Akizungumza jana mjini Unguja, msemaji wa kituo hicho, Juma Ayoub Amohamed, alisema tukio hilo lilitokea saa 7:30 usiku wa kuamkia jana ambapo zaidi ya watu 15 walivamia studio hiyo na kufanikiwa kuchoma moto.
Alisema hadi sasa bado hawajajua nini chanzo cha kufanyiwa hivyo, na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa4VG1Iutjy7McV*URek1qbQlJsJGBihsb00U-YVDlDX63GG2fnIBUR6Qqe2P77E4DdpXz2mMJ*ozXCrbkBYUqAK/vurugu2.jpg?width=650)
NEWS ALERT: WAENDESHA BODABODA NACHINGWEA WAZINGIRA KITUO CHA POLISI
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-m-Eul0kNoxs/U5hJnSOifCI/AAAAAAAFpw8/eAlwlSBE5-c/s72-c/IMG-20140611-WA0002-1.jpg)
News Alert: Majambazi wavamia kituo cha Polisi Kimanzichana na kuua Askari
![](http://4.bp.blogspot.com/-m-Eul0kNoxs/U5hJnSOifCI/AAAAAAAFpw8/eAlwlSBE5-c/s1600/IMG-20140611-WA0002-1.jpg)
Cha kushangaza watu hao walimvamia askari mwenye silaha ambaye amefahamika kwa jina la JOSEPH NGONYANI na kuanza kumkatakata mapanga na hatimaye kupora silaha aina ya SMG ikiwa na risasi 30.
Ndipo...
5 years ago
BBCSwahili29 May
Mauaji ya George Floyd: Waandamanaji wakichoma moto kituo cha polisi cha Minneapolis, Marekani