Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HIVI NDIVYO KITUO CHA POLISI KILIVYOCHOMWA MOTO!

Na Waandishi Wetu TUKIO la wananchi kuchoma Kituo Kidogo cha Polisi cha Bunju A kilichopo wilayani Kinondoni, jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita lilizua mshtuko wa aina yake na kuweka rekodi mbaya nchini, Uwazi linakupa habari kamili. Soma zaidi hapa ===>http://bit.ly/1GiCgZo

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya George Floyd: Waandamanaji wakichoma moto kituo cha polisi cha Minneapolis, Marekani

Marekani yashuhudia usiku wa tatu wa maandamano kutokana na kifo cha mwanaume mweusi

 

10 years ago

Vijimambo

KITUO CHA POLISI BUNJU CHACHOMWA MOTO

Baadhi ya wakazi wa Bunju wamevamia na kukichoma moto kituo cha polisi Bunju A baada ya polisi kufyatua mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya wananchi waliofunga barabara baada ya mwanafunzi mmjoa kugongwa na gari na kufariki.Polisi walilazimika kukimbia na gari lao baada ya kuona wananchi wanawazidi nguvu kwa kurusha mawe na kukiacha kituo hicho bila ya ulinzi ndipo wananchi walipokivamia kituo kuvunja milango na kuwatoa wahalifu waliokuwa wakishikiliwa na kisha kukichoma moto

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanafunzi agongwa, wakazi wachoma moto kituo cha polisi

Dar es Salaam. Wakazi wa Bunju ‘A’, wamechoma kituo cha polisi cha eneo hilo kwa kile kilichodaiwa kushindwa kuelewana na askari baada ya mwanafunzi wa darasa la nne kugongwa na gari na kufariki dunia.

 

10 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT:KITUO CHA POLISI BUNJU CHACHOMWA MOTO.

Baadhi ya Polisi wakiwatawanya watu (hawapo pichani) kwa mabomu ya machozi mara baada ya tukio la kuchomwa moto kituo cha polisi Bunju, tukio hilo limetokea.Kituo cha polisi Bunju kilichopo nje kidogo ya jiji la Dar kimechomwa moto na baadhi ya Wananchi kufuatia tukio la kudaiwa kwa Mwanafunzi mmoja kugongwa na gari na kufa papo hapo Sehemu ya kituo hicho cha Polisi Bunju kikiteketea kwa moto mara baada ya kuchomwa moto na wananchi kufuatia tukio la kudaiwa kwa Mwanafunzi mmoja kugongwa na...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NEWS;KITUO CHA POLISI MOSHI KINAWAKA MOTO

TAARIFA ZA UHAKIKA ZILIZOTUFIKIA KATIKA CHUMBA CHA HABARI YA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE,ZINAELEZA KUWA KITUO CHA POLISI MOSHI MKOANI KILIMANJARO KINAWAKA MOTO,AIDHA MPAKA SASA CHANZO CHA MOTO HUO BADO HAKIJAJULIKANA.
HABARI ZAIDI TUTAZIDI  KUWALETEA KADIRI YA ZITAKAVYOKUWA ZIKIINGIA.

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA SOKO LA ILALA MCHIKICHINI JIJINI DAR BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO

 Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo na kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.Picha zote na Othman Michuzi.  Kazi ya kuzima moto ikiendelea.  Jitihada za kuuzima moto huo bado zinaendelea.  Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani