Maajabu ya Madiba
KATIKA uhai wake mpambanaji dhidi ya ubaguzi wa rangi duniani, Nelson Mandela, aliishangaza dunia alipotangaza msamaha kwa waliomtesa na akiwa marehemu, amekutanisha viongozi mahasimu wa kisiasa duniani katika uwanja mmoja wakimuaga. Hicho ndicho kilichomsukuma mshindi mwenzake wa Tuzo ya Nobel, Askofu Desmond Tutu, kusema Mandela alikuwa wa maajabu na alionesha maajabu akiwa hivi sasa ni marehemu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Dec
Kwaheri Madiba
MAELFU ya Waafrika Kusini jana walijitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza Mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika majengo ya Serikali ya Union jijini Pretoria.
Wengine walijipanga barabarani kutoa heshima zao wakati mwili ukipitishwa kutoka hospitalini ulikohifadhiwa na kupelekwa katika majengo ya Union na jioni kurudishwa hospitalini.
Mwili huo ulipelekwa hapo jana asubuhi ili kutoa fursa kwa wananchi kuuaga rasmi kabla ya kusafirishwa kwenda kijijini kwao...
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Madiba na maisha ya kifamilia
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Mnaiba iba tu jina la Madiba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo6h5uuAAeBAjGZoL-zWd84b8uX7IGO4iYafjpgji3dUQy2xszUhG-vALhRpdMsqIt0alyCcWbg22Gj1MKHqWWv1/NelsonMandelasmilewallpaper.jpg?width=650)
WASAUZI WAMESAHAU BUSARA ZA MADIBA?
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Vikumbo vyatawala kumuaga Madiba
VIUNGA vya Jiji la Pretoria nchini Afrika Kusini, jana viligubikwa na umati mkubwa wa watu waliokusanyika katika jengo la Umoja kwa ajili ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa nchi...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/83091000/jpg/_83091013_bishop_foster1024.jpg)
VIDEO: 'The Madiba bubble has popped'
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/71656000/jpg/_71656980_71652442.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Kwaheri Nelson Mandela (Madiba)
NELSON Mandela ni mwana wa Afrika, akalale pema na Mwenyezi Mungu aipumzishe kwa amani roho ya Tata Madiba. Dunia nzima ikiwa katika simanzi ya kumpoteza aliyekuwa mpigania uhuru jemedari wa...
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Nilitamani kusamehe kama Madiba-Nyerere