Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vikumbo vyatawala kumuaga Madiba

VIUNGA vya Jiji la Pretoria nchini Afrika Kusini, jana viligubikwa na umati mkubwa wa watu waliokusanyika katika jengo la Umoja kwa ajili ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa nchi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Makocha 35 wapigana vikumbo Yanga


Na Khadija Mngwai
KUFUATIA kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi Hans Van Der Pluijm, kumekuwa na mgongano wa hali ya juu baada ya zaidi ya makocha 35 kutuma maombi ya kutaka kuifundisha timu hiyo msimu ujao. Hivi karibuni Pluijm aliamua kuondoka klabuni hapo na kutimkia Uarabuni kwenda kufundisha soka baada ya kupata ofa kubwa. Akizungumza na Championi Jumamosi, Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto, alisema...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli, Lowassa wapigana vikumbo

Katuni MBELENa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli pamoja na mwenzake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa, wamepigana vikumbo mahakamani huku kila mmoja akisaka kiapo cha mahakama kuthibitisha rasmi kuwania nafasi hiyo.

Magufuli na Lowassa kwa sasa wamekuwa mahasimu wa kisiasa tangu waziri mkuu huyo wa zamani alipotangaza kuihama CCM baada ya mchakato wa urais uliofanyika mjini Dodoma Julai...

 

11 years ago

GPL

NYERERE, DK. CHENI WAPIGANA VIKUMBO

Steve Mangere ‘Steve Nyerere’. Stori: Nyemo Chilongani
WAIGIZAJI wawili kwenye tasnia ya ya filamu Bongo, Steve Mangere ‘Steve Nyerere’ na Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ wapo katika mvutano wa hali ya juu kufuatia kila mmoja  kutangaza nia ya kugombea uenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie.…

 

10 years ago

Mtanzania

Vikumbo vyaanza jimbo la Ukonga

Na Humphrey Shao, Dar es Salaam
MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kitengo cha kompyuta, Anthony Karokola, ametangaza nia yake ya kugombea ubunge Ukonga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) .
Aliwaambia waandishi wa habari ni kwa jinsi gani anavyosukumwa na maendeleo ya wana Ukonga na kutaka kuendeleza alipoishia marehemu Eugine Mwaiposa.
“Nitamuenzi mama Mwaiposa kwa kufuata nyayo zake na kufuata mazuri yote aliyoyafanya na aliyotaka kuyafanya nitayatekeleza,” alisema Karokola.
Alisema...

 

10 years ago

GPL

WEMA, AUNT WAKUTAKA, WAPIGANA VIKUMBO

Imelda Mtema MAFAHARI wawili Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Wema Sepetu ‘Madam’ wamezidi ‘kusherehesha’ bifu lao baada ya kupigana vikumbo kwenye mgahawa unaojulikana kama Snow Cream na kuchuniana kama vile hawajuani. Kwa mujibu wa chanzo chetu ambacho kiliusoma ‘mchezo’ mwanzo mwisho, Wema ndiye aliyekuwa wa kwanza kuingia kwenye mgahawa huo na wapambe wake kisha baada ya muda kidogo...

 

11 years ago

Mwananchi

Shule zapigana vikumbo kupanda na kushuka

Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2014 yaliyotangazwa juzi yameonyesha kupiga hatua kwa baadhi ya shule na nyingine maarufu zikiporomoka.

 

10 years ago

Mtanzania

Wagombea urais vikumbo kila kona

mangula pressNA WAANDISHI WETU
MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotangaza nia ya kugombea urais, sasa ni wazi wanapigana vikumbo kila kona ya nchi.
Hatua hiyo inatokana na kila mtangaza nia kwa nyakati tofauti kutoa kauli nzito.
Wapo makada ambao kauli zao zinaonyesha wazi kuwa kuna mgongano ndani ya CCM, huku wengine wakitangaza nini watakifanya endapo watateuliwa kuongoza nchi.

MEMBE: SINA UNDUGU NA JK

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema hana undugu na Rais...

 

9 years ago

GPL

LULU, MAMA KANUMBA WAPIGANA VIKUMBO

Mayasa Mariwata MAKUBWA! Mama wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amejikuta kwenye simanzi nzito baada ya kukutana na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye alikuwa mpenzi wa mwanaye kumpita bila kumsalimia.   ...Soma zaidi====>http://goo.gl/yGWP4w

 

9 years ago

Raia Mwema

Vikumbo vya umeya Mwanza hatari

KITI cha Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kimeendelea kukodolewa macho ambapo safari hii ina

Mwandishi Wetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani