Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vikumbo vya umeya Mwanza hatari

KITI cha Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kimeendelea kukodolewa macho ambapo safari hii ina

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHOW YA SAUTI SOL KATIKA JEMBEKA PARTY MWANZA ILIKUWA HATARI....!!!

Sauti Sol toka nchini Kenya mwishoni mwa wiki (21/02/2015) wamepiga show ya kufufuka mtu ndani ya kiota cha burudani chanye hadhi ya kitalii Jembe Beach ndani ya party lililopewa jina la JEMBEKA, likiandaliwa na Kituo kipya cha redio jijini Mwanza Jembe FM 93.7.Mashabiki walitoa ushirikiano wa kila htua zilizokuwa zikiendelea stejini.Hapo vijEee....!!Kenyan Afro Pop (2014 MTV EMA Best Worlwide Act Nominees) walifanya kazi ya ukweli...Stage kama screen vile unawochi kitu cha LIVE....
Picha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serengeti FIESTA 2014 leo kutikisa jiji la Mwanza ndani ya viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza

02 (1)

Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa  tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMANDA WA MIKOA MITATU YA MWANZA, SIMIYU NA SHINYANGA WAVUNJA NGOME HATARI YA MTANDAO WA UJAMBAZI

Wakizungumza kwa pamoja Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Valentino Mlowola alisema Januari 5, mwaka huu majira ya saa 7 mchana walimkamata Mabula Lyagwa (36) akiwa na jeraha la risasi kwenye bega lake la kulia baada ya kupokea taarifa kutoka kwa raia wema.
Alisema mtiliwa shaka huyo alipohojiwa alisema kuwa jeraha hilo alipigwa risasi na jambazi mwenzake aitwaye Njile Samweli wakati wakifanya tukio la ujambazi katika kijiji cha Idukilo kata ya Mwadui Luhumbo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...

 

11 years ago

Habarileo

Vinywaji vya kuongeza nguvu ni hatari

VINYWAJI baridi vyenye lengo la kuongeza nguvu vinadaiwa kuwa hatari kwa afya ya watumiaji baada ya kubaini baadhi ya kemikali husababisha madhara mwilini.

 

11 years ago

Mtanzania

‘Vikundi vya kigaidi Somalia hatari kwa Afrika’

Kundi la Al-shabaab

Kundi la Al-shabaab

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam

MWAKILISHI wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini Somalia, Balozi Augustine Mahiga, amesema kuna mtandao wa kutengeneza magaidi nchini Somalia kwa lengo la kufanya uhalifu kwenye nchi mbalimbali, zikiwamo za Afrika Mashariki.

Balozi Mahiga alisema hayo jijini Dar es Salaam jana, kwenye mdahalo wa marais wastaafu wa Afrika (African Leadership Forum) ambao pamoja na mambo mengine, walijadili suala la maendeleo na usalama kwa bara la Afrika.

Marais...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je kuwa mnene kupindukia kunaweza kuongeza hatari ?

Je kiwanho cha mafujta mwilini mwako kinaweza kuongeza matatizo unapopatwa na Covid-19?

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Vinywaji baridi vya kuchangamsha hatari kwa afya zetu

Oktoba 2014, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilionya ongezeko la vinywaji vya kuchangamsha. Takwimu za WHO zilinguruma, “energy drinks” (kwa kimombo), hutumiwa zaidi na asilimia 68 ya vijana, watoto chini ya miaka 10 asilimia 18, na asilimia 30 ya watu wazima. Onyo lilizingatia madhara ya vinywaji hivi vyenye ladha tamu inayowavutia watoto.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Waliobadilisha jinsia 'wana hatari kubwa' wakati huu

Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanasema masharti yaliyowekwa ya kuzuwia kusambaa kwa virusi vya corona yanawaweka hatarini sana watu waliobadili jinsia zao.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Hatari ya dawa ya hydroxychloroquine inayotumiwa na watu kutibu Covid -19

Shirika hilo limeonya kwamba utumiaji wa dawa ya chloroquine au hydroxychloroquine bila kufuata mwongozo kunaweza kusababisha madhara makubwa ikiwemo kuumwa kupita kiasi au kifo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani