Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nilitamani kusamehe kama Madiba-Nyerere

Mwigizaji Steve Nyerere, ameonyesha masikitiko yake kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela (Madiba), akieleza kuwa bado alikuwa akihitaji kujifunza kutoka kwake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hajatokea kama Mwalimu Nyerere

Nilikutana na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa mara ya kwanza mwaka 1978. Mimi nilikuwa Seminari ya Likonde wilayani Mbinga. Mwalimu alikuja kutembelea Kijiji cha Amani Makoro.

 

11 years ago

GPL

KAMA NINGEKUWA STEVE NYERERE NINGE…

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’. KWAKO,
Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’. Bila shaka mambo yako yapo safi kabisa. Kuna mambo nataka kukushauri lakini nimeona njia hii ya barua ni nzuri zaidi, maana hutaisoma peke yako. Aisee naitamani sana nafasi yako, maana  ningefanya mengi sana, lakini kwa kuanzia ningeanza na haya yafuatayo ambayo naamini...

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE, SANDRA WAGANDANA KAMA RUBA

Stori: Richard Bukos
MAHABA? Prezidaa wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na mwigizaji mwenzake, Salama Salmin ‘Sandra’ wamezua minong’ono kufuatia kitendo chao cha kugandana kama ruba ukumbini. Tukio hilo lilichukua nafasi kwenye uzinduzi wa filamu tatu za Kiswahili ‘Swahiliwood’ kwenye Ukumbi wa Century Cinemax, Oysterbay jijini Dar wikiendi iliyopita. Katika tukio...

 

11 years ago

GPL

KADINDA: NILITAMANI WEMA AWE WANGU

Stori: Mayasa Mariwata MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda amesema kabla hajawa kiongozi wake, awali aliwahi kumtamani kimapenzi mcheza filamu Wema Sepetu, lakini alighairi baada ya kugundua ni mwanamke wa kudekadeka. Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda. Kadinda alitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati akipiga stori na paparazzi wetu kuhusu masuala mbalimbali yanayomhusu msichana huyo ambaye ana uhusiano wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara: Siwahi Kuona Kiongozi Kama Steve Nyerere

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amempongeza na kumsifu aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya Bongo Movies Unity, Steven Mengere 'Stive Nyerere' kwa kumuelezea kuwa ni kiongozi anayeweka wajali  na kuwafikiria anaowaongoza.

Wastara alieleza hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya Steve Nyerere akiwa kwenye kaburi la marehemu Adam Kumbiana.

“Hongera kaka kwa kikubwa ulichokifanya maneno yasikuludishe nyuma ukiona unasemwa sana ujue umewashika sijawahi kuona kiongizi wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Jenerali Musuguri: Nilitamani kumchinja Idd Amin

mtanzania 010914

mtanzania 010914

Na Kulwa Karedia, Butiama

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi mstaafu, Brigedia Jenerali David Musuguri, amesema aliumizwa sana na ukatili alioufanya aliyekuwa Rais wa Uganda, Idd Amin Dada na kuapa iwapo angemkamata akiwa hai angemchinja.

Jenerali Musuguri aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  kati ya mwaka 1980 hadi 88 wakati wa Serikali ya Awamu ya Kwanza ya Hayati Mwalimu Nyerere, alisema hayo katika mahojiano maalumu na MTANZANIA yaliyofanyika nyumbani kwake katika Kitongoji cha...

 

9 years ago

Habarileo

JK: Sijawahi kusamehe kodi makontena

RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amesema katika uongozi wake wa miaka 10, hakuwahi kuagiza mtu asamehewe kontena lake lisilipe kodi na angefanya hivyo, mapato ya Serikali yasingeongezeka kutoka Sh bilioni 177 kwa mwezi mpaka Sh bilioni 900.

 

10 years ago

GPL

MKITOKA UGOMVINI, KUWA MWANGALIFU KUSAMEHE

KUNA mambo mengi yanatokea katika hii dunia, ambayo wakati mwingine yanatulazimisha kuzungumza na watu wetu ili kuwapa kile kidogo tunachokijua, tukiamini mchango wa mawazo yetu unaweza angalau kuongeza wigo wa ufahamu juu ya kitu kinachosababishwa na mapenzi. Kupitia vyombo vya habari, yakiwemo magazeti redio na televisheni, tutakuwa tunaona na kusikia kuhusu wapendwa wetu wanavyopoteza maisha kutokana na mapenzi. Juzi, nilikuwa...

 

11 years ago

GPL

JIFUNZE KUSAMEHE YEYE SIYO MALAIKA

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa kabisa, ni siku nyingine nzuri tunapokutana katika uwanja huu kujuzana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi, hususan wachumba au wanandoa. Kabla sijaanza kuijadili mada yetu ya hapo juu kama inavyojieleza, ningependa nikupe mfano mdogo kuhusu watoto mapacha. Sote tunawajua watoto mapacha. Hawa huanza kuwa pamoja kuanzia wakiwa kwenye tumbo la mama yao. Huzaliwa siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani