Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JIFUNZE KUSAMEHE YEYE SIYO MALAIKA

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa kabisa, ni siku nyingine nzuri tunapokutana katika uwanja huu kujuzana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi, hususan wachumba au wanandoa. Kabla sijaanza kuijadili mada yetu ya hapo juu kama inavyojieleza, ningependa nikupe mfano mdogo kuhusu watoto mapacha. Sote tunawajua watoto mapacha. Hawa huanza kuwa pamoja kuanzia wakiwa kwenye tumbo la mama yao. Huzaliwa siku...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Diego Costa asema yeye si malaika

Mchezaji wa Chelsea Diego Costa ameeleza anajua kwamba yeye “si malaika” pindi anapo kuwa uwanjani na kwamba hatabadilisha mtindo wake wa uchezaji soka. Costa amepigwa marufuku mechi tatu mara mbili mwaka huu, mara ya kwanza kwa kumkanyaga mchezaji wa Liverpool Emre Can na mara ya pili kwa kumsukuma difenda wa Arsenal Laurent Koscielny. “Nimefika mbali […]

 

11 years ago

GPL

SNURA ASEMA YEYE SIYO MSHIRIKINA KABISA

Na  Erick Evarist
MAMA Majanga, Snura Mushi amefunguka kuwa katika maisha yake, hahusudu masuala ya kishirikina. Snura Mushi 'Mamaa Majanga ' . Akizungumza na paparazi wetu baada ya kuvuja kwa picha zilizomuonesha akiwa kwa mganga, Snura alisema hazikuwa kwa mganga wa kweli kwani yeye haamani mambo ya kishirikina. “Mimi na ushirikina ni vitu viwili tofauti, namtegemea zaidi Mungu katika maisha yangu, hata hizo picha...

 

11 years ago

Michuzi

MALAIKA NAKUPENDA MALAIKA...sings dr schaeffer as he leaves bukoba

With salams and jambo from IZAAS Medical Project in Bukoba, "All good times come to an end...It was time to leave", Said Dr Schaeffer while singing the song, MALAIKA NAKUPENDA MALAIKA  The photos of Zulfa before and after shows what type of miracles Dr Schaeffer can do.   Brother Ansarali Hemraj generously donated 17 cartoons of wheel chairs, crunches elbow sticks and walkers, he even donated $ 1200 for heir ttransport from Dubai to Tanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

ETI ‘SIWEZI KUISHI BILA YEYE’ KWANI YEYE NANI?

Hakuna shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia mia moja kwamba mpenzi wake aliye naye anampenda kwa dhati kabisa au anazuga. Hii inabaki kuwa siri ya anayependa!

Lakini sasa, kuna kitu nilichogundua miongoni mwetu, kitu ambacho tusipokuwa makini nacho tunaweza kujikuta tunajilazimisha kuishi maisha ya huzuni wakati tunayo haki ya kuishi maisha yenye furaha.
Ukweli ni kwamba, kila mtu anao uhuru wa kupenda...

 

10 years ago

GPL

ETI ‘SIWEZI KUISHI BILA YEYE’ KWANI YEYE NANI?

Hakuna shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia mia moja kwamba mpenzi wake aliye naye anampenda kwa dhati kabisa au anazuga. Hii inabaki kuwa siri ya anayependa! Lakini sasa, kuna kitu nilichogundua miongoni mwetu, kitu ambacho tusipokuwa makini nacho tunaweza kujikuta tunajilazimisha kuishi maisha ya huzuni wakati tunayo haki ya kuishi maisha...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago

Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake MbagalaTabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...

 

9 years ago

Habarileo

JK: Sijawahi kusamehe kodi makontena

RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amesema katika uongozi wake wa miaka 10, hakuwahi kuagiza mtu asamehewe kontena lake lisilipe kodi na angefanya hivyo, mapato ya Serikali yasingeongezeka kutoka Sh bilioni 177 kwa mwezi mpaka Sh bilioni 900.

 

11 years ago

Mwananchi

Nilitamani kusamehe kama Madiba-Nyerere

Mwigizaji Steve Nyerere, ameonyesha masikitiko yake kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela (Madiba), akieleza kuwa bado alikuwa akihitaji kujifunza kutoka kwake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nchimbi: Mungu nipe moyo wa kusamehe

SIKU chache baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi kuvuliwa wadhifa wake kwa tuhuma za kushindwa kusimamia wizara yake, kiongozi huyo ametaka apewe moyo wa upendo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani