SNURA ASEMA YEYE SIYO MSHIRIKINA KABISA
![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQIy7tJW0pRyRbAIOkMJdOiCpCuRGuu2Pu7dIutL5lEnwGTe5NV6VQidsIqExJf0dRbDYTZYIlKlC*L8rFENCICO/snura.jpg?width=650)
Na Erick Evarist MAMA Majanga, Snura Mushi amefunguka kuwa katika maisha yake, hahusudu masuala ya kishirikina. Snura Mushi 'Mamaa Majanga ' . Akizungumza na paparazi wetu baada ya kuvuja kwa picha zilizomuonesha akiwa kwa mganga, Snura alisema hazikuwa kwa mganga wa kweli kwani yeye haamani mambo ya kishirikina. “Mimi na ushirikina ni vitu viwili tofauti, namtegemea zaidi Mungu katika maisha yangu, hata hizo picha...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVmESX546Gfc*6j9wKoIYaV68sCM5r8-cSbEFXRrzk-CZQFfgE3835oYVMnfgAausQpgxFYHCJjv1HjxeeVVRe0Z/mahaba.jpg)
JIFUNZE KUSAMEHE YEYE SIYO MALAIKA
9 years ago
Bongo524 Oct
Diego Costa asema yeye si malaika
9 years ago
Mtanzania23 Oct
Magufuli asema yeye ndiye mshindi
NA BAKARI KIMWANGA, CHALINZE
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema anajua yeye ndiye rais wa awamu ya tano na Watanzania wameshamhakikishia watamchagua keshokutwa wakati wa kupiga kura.
Kwa mujibu wa Dk. Magufuli, anajua Watanzania wamechoshwa na ahadi za uongo, na kwamba sasa wanahitaji ahadi za vitendo.
Dk. Magufuli aliyasema hayo jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika Chalinze, Mkoa wa Pwani.
“Watu wamechoshwa na ahadi za uongo na wanahitaji...
9 years ago
Bongo528 Sep
Davido asema hana mpango kabisa wa kuoa kwa sasa
10 years ago
Habarileo12 Jul
Lipumba asema yeye ndiye anayefaa kutawala
WAKATI kitendawili cha sitofahamu cha uwezekano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kusimamisha mgombea mmoja wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa , Profesa Ibrahim Lipumba, ameibuka na kusema taifa linahitaji kuwa na kiongozi mwenye uwezo wa kuinua na kuboresha uchumi kupitia sekta ya viwanda na kilimo.
Alisema uchumi unaosimamiwa na viwanda na sekta ya kilimo ndiyo njia pekee itakayowezesha kuongeza ajira...
10 years ago
Mwananchi29 Jun
Achukua fomu ya 42 urais CCM, asema yeye ni greda
10 years ago
Vijimambo24 Jan
Profesa Muhongo ajiuzulu, asema yeye ni mtu safi
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2600680/highRes/929367/-/maxw/600/-/139fdua/-/muhongo.jpg)
Profesa Muhongo amekwenda mbali zaidi na kueleza kuwa yeye si mwizi na hawezi kuuza utu wake kwa kupewa rushwa ili kuwakandamiza watanzania.
Kufuatia kuhusishwa na sakata la uchotwaji wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo ameamua kumuandikia barua Raisi ya kujiuzulu wadhifa wake.Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Profesa Muhongo ameelezea furaha yake ya kupatikana kwa maendeleo ya haraka katika...
9 years ago
Bongo514 Sep
Jose Mourinho asema hakuna bora kama yeye
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Profesa Muhongo ajiuzuru, asema yeye ni mtu safi