Profesa Muhongo ajiuzulu, asema yeye ni mtu safi
Profesa Muhongo amekwenda mbali zaidi na kueleza kuwa yeye si mwizi na hawezi kuuza utu wake kwa kupewa rushwa ili kuwakandamiza watanzania.
Kufuatia kuhusishwa na sakata la uchotwaji wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo ameamua kumuandikia barua Raisi ya kujiuzulu wadhifa wake.Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Profesa Muhongo ameelezea furaha yake ya kupatikana kwa maendeleo ya haraka katika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Profesa Muhongo ajiuzuru, asema yeye ni mtu safi
10 years ago
Habarileo25 Jan
Profesa Muhongo ajiuzulu
HATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.
10 years ago
Habarileo25 Jan
Hatimaye Profesa Muhongo ajiuzulu
HATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.
10 years ago
Habarileo09 May
Profesa Muhongo, Katibu Maswi safi
UCHUNGUZI dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na aliyekuwa Katibu wake, Eliakim Maswi, umebaini kuwa viongozi hao hawakukiuka maadili yoyote katika sakata la utoaji wa karibu Sh bilioni 300 zilizokuwa katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu (BoT).
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
HATIMAYE WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROFESA SOSPITER MUHONGO AJIUZULU
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Mengi asema Profesa Muhongo siyo mkweli
10 years ago
StarTV24 Jan
Prof. Muhongo ajiuzulu.
Waziri wa nishati na madini nchini Tanzania Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu,na kumfanya kuwa afisa wa tatu wa ngazi za juu serikalini kuathiriwa na ufisadi uliokumba sekta ya kawi katika taifa hilo la Afrika mashariki.
Professa Muhongo alitoa tanagazo hilo wakati wa mkutano na vyombo vya habari.
Kujiuzulu kwake kunajiri baada ya kufutwa kazi kwa waziri wa Ardhi na kujiuzulu kwa mwanasheria mkuu ,wote wakiwa wamehusishwa na kutolewa kwa zaidi ya dola milioni 120 kutoka kwa benki kuu...
10 years ago
Habarileo06 Aug
BREAKING NEWS: Profesa Lipumba ajiuzulu rasmi Uenyekiti CUF
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi wadhifa wake huo ndani ya chama kwa kikle alichokitaja kuwa ni kukiukwa kwa Katiba ya chama hicho.