Profesa Muhongo, Katibu Maswi safi
UCHUNGUZI dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na aliyekuwa Katibu wake, Eliakim Maswi, umebaini kuwa viongozi hao hawakukiuka maadili yoyote katika sakata la utoaji wa karibu Sh bilioni 300 zilizokuwa katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu (BoT).
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Profesa Muhongo ajiuzuru, asema yeye ni mtu safi
10 years ago
Vijimambo24 Jan
Profesa Muhongo ajiuzulu, asema yeye ni mtu safi
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2600680/highRes/929367/-/maxw/600/-/139fdua/-/muhongo.jpg)
Profesa Muhongo amekwenda mbali zaidi na kueleza kuwa yeye si mwizi na hawezi kuuza utu wake kwa kupewa rushwa ili kuwakandamiza watanzania.
Kufuatia kuhusishwa na sakata la uchotwaji wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo ameamua kumuandikia barua Raisi ya kujiuzulu wadhifa wake.Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Profesa Muhongo ameelezea furaha yake ya kupatikana kwa maendeleo ya haraka katika...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HSuUDFknyEQ/U-2bMXdFksI/AAAAAAAF_uc/6rgPuiaI4MM/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Sendeka: Muhongo, Maswi wezi
WABUNGE jana waligeuza Ukumbi wa Bunge sehemu ya mnyukano baada ya baadhi yao kushambuliana, huku wakituhumiana kwa wizi na wamehongwa na uongozi wa Kampuni ya kufua umeme wa dharura ya...
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Wiki ya Werema, Muhongo, Maswi
MACHO na masikio wiki hii yataelekezwa zaidi mjini Dodoma, kujua hatma ya watuhumiwa wanaodaiwa kuchota zaidi ya sh bilioni 300, zilizohifadhiwa kwenye Akaunti Maalum ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Ole Sendeka awashukia Muhongo, Maswi
10 years ago
Dewji Blog09 May
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Maswi asafishwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Ndg. Eliakim Maswi.
PRESS RELEASE – MASWI.doc
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Katibu Mkuu Kiongozi amsimamisha kazi ndugu Maswi kupisha uchunguzi!
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi (pichani), Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama ilivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Balozi Sefue amemsimamisha kazi Ndugu Maswi kuanzia leo, Jumanne, Desemba 23, 2014, kwa kutumia madaraka aliyonayo kama Mamlaka ya Nidhamu kwa Watumishi wa Umma wanaoteuliwa na Rais, wakiwemo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3Om37WCvrOe55aAz070KDudDcCnTcuk4b0XUeJMYrQYlzLiZ6sQNk8FVaIZbIJpf6degLuKLMVJRyiPOxTl9AQFK/breakingnews.gif)
KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI, ELIAKIM MASWI ASIMAMISHWA KAZI KWA MUDA