Mengi asema Profesa Muhongo siyo mkweli
>Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi amesema kauli zinazotolewa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo dhidi yake kuhusu uwekezaji katika sekta ya gesi nchini hazina ukweli wowote.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Jan
Profesa Muhongo ajiuzulu, asema yeye ni mtu safi
Profesa Muhongo amekwenda mbali zaidi na kueleza kuwa yeye si mwizi na hawezi kuuza utu wake kwa kupewa rushwa ili kuwakandamiza watanzania.
Kufuatia kuhusishwa na sakata la uchotwaji wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo ameamua kumuandikia barua Raisi ya kujiuzulu wadhifa wake.Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Profesa Muhongo ameelezea furaha yake ya kupatikana kwa maendeleo ya haraka katika...
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Profesa Muhongo ajiuzuru, asema yeye ni mtu safi
11 years ago
GPLTAARIFA RASMI YA DKT. REGINALD A. MENGI MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LIMITED YENYE KUJIBU MAELEZO YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO KUHUSU HODHI YA VITALU
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Dk. Mengi: Muhongo ameupotosha umma
MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi amemvaa tena Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwamba ameupotosha umma kwa kusema kuwa yeye anamiliki eneo kubwa la...
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Muhongo haitakii mema nchi — Mengi
MWENYEKITI wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, amemshambulia tena Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, akidai kuwa haitakii mema nchi kutokana na kugawa vitalu vyote 27 vya gesi...
10 years ago
Habarileo25 Jan
Profesa Muhongo ajiuzulu
HATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.
11 years ago
Habarileo02 Feb
Profesa Muhongo acharuka
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya kampuni zinazotumiwa na Wakala wa Nishati Vjijini (REA) kuwaunganishia umeme wakazi wa vijijini, zinaomba rushwa, hivyo kuwaondolea matumaini ya kuondokana na umasikini.
11 years ago
Mwananchi03 Aug
ZEE LA NYETI: Mambo mengi siyo mpango, tuchague michongo!
11 years ago
Habarileo09 Jan
Muhongo: Tanzania ina mengi ya kuiga kwa Algeria
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Tanzania ina mambo mengi ya kuiga kutoka nchi ya Algeria, hasa eneo la uchimbaji wa madini mafuta na gesi huku akiwataka wananchi kukubali mabadiliko ili kufikia eneo walipofikia wenzetu.