ZEE LA NYETI: Mambo mengi siyo mpango, tuchague michongo!
>Nimeshtukia ukiwa unamiksi sana mambo, hata laifu yako mwenyewe inajimiksi kimtindo. Hujachunguza? Unakuwa fulani hujatulia tu. Unajua nini? Unakuwa mtu fulani hueleweki, mara umeshika hiki mara kile, mwenyewe unajiona jembe kumbe unajilostisha. Hujawashtukia wanetu dizaini hizi?
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Feb
ZEE LA NYETI: Haina kulaumiana, unachonga sana
>Watoto wa uswahilini wanazingua wewe, hivi ushawahi kumzukia mshkaji wangu mitaa ya uswazi ukashuhudia mishemishe za mademu wa kiswazi, a.k.a vitu vya kienyeji?
11 years ago
Mwananchi01 Feb
ZEE LA NYETI: Blaza ukichakarika, ishu zinaitika
>Moja kati ya ishu za kijinga nilizokuwa nazo wakati nikiwa mdogo ni zile za kuonewa asubuhi na kuja kulia jioni nikiona maza anarudi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rpTO7xq7SsHqkL5cVyt-w6xVMgaP-gwadMYrsIG5L9pH7UAs*CbMN3cp7m9EkWWXxEEgg7CXeyIcYdiSs3P8xfzGgEfPtGOO/diamond.jpg?width=650)
DIAMOND ANAZINGUA, MICHONGO YAKE SIYO!
Diamond Platnumz. Stori: Anko Nangale
AJE aje mapipo, kama kawa kama dawa. Kupitia segimenti hii tutakuwa tukipeana michapo ya hapa na pale iwe info za bigi apu au hata michano kiroho safi kabisa. Ama nini? Basi mia! Tudei siyo kesi kama vipi ngoja nimtemee madini Diamond, anayetamba na songi la Mai Namba Wani. Kabla sijazama fronti ngoja ninate na biti dakika sifuri.
“Mai switiswiti…mai bebiooo, roho yangu...
11 years ago
Mwananchi05 Jul
ZEE LA NYETI: Watu wasikuzingue, piga ishu jikunjue!
>Bongo haina jema mwanangu mwenyewe, tunaishi tu kwa sababu ndiyo michongo ilipo lakini adhawaizi mwanenu ningeshajitupa Rufiji longtaimu nikakieleweshe mbele kwa mbele, ila sasa nikienda Rifiji jiji namwachia nani mimi mwanadarisalama?
11 years ago
Mwananchi28 Apr
ZEE LA NYETI: Pale unapojishtukia ndipo watu wanapokupigia
>Mwanangu, siku ya nne leo sijakatiza mitaa ya Kariakoo. Najua mvua ishazingua sana kitaa kile, watu wameshaachia chemba zao, utawaeleza nini kudadadeki. Nawaachia wanangu akina Suma lee wanipe ripoti, kitu kikishakuwa drai, ntaibuka kuendeleza mitikasi kama kawaida.
11 years ago
Mwananchi01 Mar
ZEE LA NYETI: Kila kwenye kula, kuliwa kunahusika
>Kuna mchongo nimeletewa na wana, uko mtandaoni, unaambiwa kuna websaiti ukijiunga hiyo, kila anayejiunga baada yako, ni mkwanja, nataka niingie kwenye huu mchongo ila nina wasiwasi kidogo, sijui mbele kuna mizingulizi kudadadeki?
11 years ago
Mwananchi22 Feb
ZEE LA NYETI: Ishu huziwezi, waachie wajuzi wa kazi hizo
>Mwezi huu wa pili, ushasepa kudadaddeki, tunaelekea Machi, watu neksti wiki tutakuwa tunaongea ishu zingine. Wanangu wa mikoani kaeni fresh, blaza anaanza misele vere suni, tutakuwa tukipeana ratiba za hizi bata, uongo?
10 years ago
Mwananchi27 Dec
ZEE LA NYETI: ...kama vipi bora mkoa, bongo ishaanza kuboa
Ebwana heri ya mwaka mpya, najua utakatiza tu kwa rehema zake Mwenyezi Mungu, inshaallah..
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--xorypAgQvI/U5mpasfc_fI/AAAAAAAAj3Q/-2y1B-iZFEU/s72-c/PIX+2.jpg)
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUTANA KUANDAA MPANGO KAZI NA MPANGO WA MANUNUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/2015
![](http://4.bp.blogspot.com/--xorypAgQvI/U5mpasfc_fI/AAAAAAAAj3Q/-2y1B-iZFEU/s1600/PIX+2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Xnq7aJhGOkY/U5mpZHN5D2I/AAAAAAAAj3M/PYlxgq2Ea_o/s1600/PIX+1.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania