Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZEE LA NYETI: Haina kulaumiana, unachonga sana

>Watoto wa uswahilini wanazingua wewe, hivi ushawahi kumzukia mshkaji wangu mitaa ya uswazi ukashuhudia mishemishe za mademu wa kiswazi, a.k.a vitu vya kienyeji?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: Blaza ukichakarika, ishu zinaitika

>Moja kati ya ishu za kijinga nilizokuwa nazo wakati nikiwa mdogo ni zile za kuonewa asubuhi na kuja kulia jioni nikiona maza anarudi.

 

11 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: Kila kwenye kula, kuliwa kunahusika

>Kuna mchongo nimeletewa na wana, uko mtandaoni, unaambiwa kuna websaiti ukijiunga hiyo, kila anayejiunga baada yako, ni mkwanja,  nataka niingie kwenye huu mchongo ila nina wasiwasi kidogo, sijui mbele kuna mizingulizi kudadadeki?

 

11 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: Pale unapojishtukia ndipo watu wanapokupigia

>Mwanangu, siku ya nne leo sijakatiza mitaa ya Kariakoo. Najua mvua ishazingua sana kitaa kile,  watu wameshaachia chemba zao, utawaeleza nini kudadadeki. Nawaachia wanangu akina Suma lee wanipe ripoti, kitu kikishakuwa drai, ntaibuka kuendeleza mitikasi kama kawaida.

 

11 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: Watu wasikuzingue, piga ishu jikunjue!

>Bongo haina jema mwanangu mwenyewe, tunaishi tu kwa sababu ndiyo michongo ilipo lakini adhawaizi mwanenu ningeshajitupa Rufiji longtaimu nikakieleweshe mbele kwa mbele, ila sasa nikienda Rifiji jiji namwachia nani mimi mwanadarisalama?

 

11 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: Mambo mengi siyo mpango, tuchague michongo!

>Nimeshtukia ukiwa unamiksi sana mambo, hata laifu yako mwenyewe inajimiksi kimtindo. Hujachunguza? Unakuwa fulani hujatulia tu. Unajua nini? Unakuwa mtu fulani hueleweki, mara umeshika hiki mara kile, mwenyewe unajiona jembe kumbe unajilostisha. Hujawashtukia wanetu dizaini hizi?

 

11 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: Ishu huziwezi, waachie wajuzi wa kazi hizo

>Mwezi huu wa pili, ushasepa kudadaddeki, tunaelekea Machi, watu neksti wiki tutakuwa tunaongea ishu zingine. Wanangu wa mikoani kaeni fresh, blaza anaanza misele vere suni, tutakuwa tukipeana ratiba za hizi bata, uongo?

 

10 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: ...kama vipi bora mkoa, bongo ishaanza kuboa

Ebwana heri ya mwaka mpya, najua utakatiza tu kwa rehema zake Mwenyezi Mungu, inshaallah..

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….

Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.

“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.

Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...

 

9 years ago

GPL

TRICH; HUSHAMBULIA SEHEMU NYETI-2

Leo naendelea kuelezea dalili za ugonjwa wa Trich unaoshambulia maeneo nyeti, ungana nami. Dalili nyingine ni kuwasha sehemu za siri, kupata maumivu chini ya kitovu.Wanawake wengine wanaweza kuwa na vimelea hivi na wakaishi navyo kwa mwaka mzima bila kugundua kama hawatakwenda kupimwa. DALILI KWA WANAUME Kwa upande wa wanaume, vimelea hivi vya ugonjwa huu hupatikana katika sehemu za siri nje ya mrija wa kupitisha mkojo yaani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani