Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZEE LA NYETI: Ishu huziwezi, waachie wajuzi wa kazi hizo

>Mwezi huu wa pili, ushasepa kudadaddeki, tunaelekea Machi, watu neksti wiki tutakuwa tunaongea ishu zingine. Wanangu wa mikoani kaeni fresh, blaza anaanza misele vere suni, tutakuwa tukipeana ratiba za hizi bata, uongo?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: Blaza ukichakarika, ishu zinaitika

>Moja kati ya ishu za kijinga nilizokuwa nazo wakati nikiwa mdogo ni zile za kuonewa asubuhi na kuja kulia jioni nikiona maza anarudi.

 

11 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: Watu wasikuzingue, piga ishu jikunjue!

>Bongo haina jema mwanangu mwenyewe, tunaishi tu kwa sababu ndiyo michongo ilipo lakini adhawaizi mwanenu ningeshajitupa Rufiji longtaimu nikakieleweshe mbele kwa mbele, ila sasa nikienda Rifiji jiji namwachia nani mimi mwanadarisalama?

 

11 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: Haina kulaumiana, unachonga sana

>Watoto wa uswahilini wanazingua wewe, hivi ushawahi kumzukia mshkaji wangu mitaa ya uswazi ukashuhudia mishemishe za mademu wa kiswazi, a.k.a vitu vya kienyeji?

 

11 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: Pale unapojishtukia ndipo watu wanapokupigia

>Mwanangu, siku ya nne leo sijakatiza mitaa ya Kariakoo. Najua mvua ishazingua sana kitaa kile,  watu wameshaachia chemba zao, utawaeleza nini kudadadeki. Nawaachia wanangu akina Suma lee wanipe ripoti, kitu kikishakuwa drai, ntaibuka kuendeleza mitikasi kama kawaida.

 

11 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: Kila kwenye kula, kuliwa kunahusika

>Kuna mchongo nimeletewa na wana, uko mtandaoni, unaambiwa kuna websaiti ukijiunga hiyo, kila anayejiunga baada yako, ni mkwanja,  nataka niingie kwenye huu mchongo ila nina wasiwasi kidogo, sijui mbele kuna mizingulizi kudadadeki?

 

11 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: Mambo mengi siyo mpango, tuchague michongo!

>Nimeshtukia ukiwa unamiksi sana mambo, hata laifu yako mwenyewe inajimiksi kimtindo. Hujachunguza? Unakuwa fulani hujatulia tu. Unajua nini? Unakuwa mtu fulani hueleweki, mara umeshika hiki mara kile, mwenyewe unajiona jembe kumbe unajilostisha. Hujawashtukia wanetu dizaini hizi?

 

10 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: ...kama vipi bora mkoa, bongo ishaanza kuboa

Ebwana heri ya mwaka mpya, najua utakatiza tu kwa rehema zake Mwenyezi Mungu, inshaallah..

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakunga na waganga wa tiba mbadala wajitangaza kuacha kabisa kazi hizo

SAM_0091

Bi Zaibabu Juma mkazi wa Kijiji cha Iguguno.

SAM_0092

Bi Amina Selemani wote ni wakazi wa Kijiji cha Tumuli waliotangaza rasmi kuachana na huduma za kuwasaidia wanawake wajawazito kutokana na uzee pamoja na maradhi ya kifua.

SAM_0088

Mganga wa tiba mbadala, Bwana Gervasi Dule, mkazi wa Kijiji cha Senene.

SAM_0096

Wakunga wa jadi,Bi Fatuma Omari (wa kwanza kutoka kulia) na Bi Tatu Hassani(wa pili kutoka kulia) waliotangaza kuacha kutoa huduma za ukunga wa jadi kwa akina mama wajawazito kutokana na umri kuwa mkubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MCT yataja jopo la wajuzi wa habari

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetangaza majina saba ya wajumbe wapya wa jopo la wajuzi wa uhuru wa habari wa kujiendeleza. Majina hayo yalitangazwa mjini Dodoma jana na Katibu Mtendaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani