DIAMOND ANAZINGUA, MICHONGO YAKE SIYO!
Diamond Platnumz. Stori: Anko Nangale AJE aje mapipo, kama kawa kama dawa. Kupitia segimenti hii tutakuwa tukipeana michapo ya hapa na pale iwe info za bigi apu au hata michano kiroho safi kabisa. Ama nini? Basi mia! Tudei siyo kesi kama vipi ngoja nimtemee madini Diamond, anayetamba na songi la Mai Namba Wani. Kabla sijazama fronti ngoja ninate na biti dakika sifuri. “Mai switiswiti…mai bebiooo, roho yangu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Aug
ZEE LA NYETI: Mambo mengi siyo mpango, tuchague michongo!
11 years ago
GPLBABA: DIAMOND SIYO RIZIKI YANGU
10 years ago
CloudsFM03 Feb
PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA
Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha. Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...
5 years ago
MichuziTAEC:MIONZI INA FAIDA KUBWA NA SIYO MADHARA PEKE YAKE
Profesa Lazaro Busagala,Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu ya nchini (TAEC) akizungumza na washiriki wa mafunzo ya usimamizi wa usalama wa mionzi yaliyofanyika Makao makuu ya Tume hiyo Jijini Arusha.
Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo ya siku tano kutoka Serengeti Breweries mafunzo ya usimamizi wa usalama wa mionzi yaliyofanyika Makao makuu ya Tume hiyo Jijini Arusha.
Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya mafunzo ya usimamizi wa usalama wa mionzi yaliyofanyika Makao makuu ya Tume hiyo Jijini...
9 years ago
GPLDIAMOND SIYO KOSA KUISHI NA MAMA LAKINI KUNA UMUHIMU WA KUJITENGA NAYE?!?
10 years ago
Vijimambo11 Feb
Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...
10 years ago
Vijimambo05 Feb
YANGA SC YA TAIFA SIYO YA TANGA COASTAL WAKAA NYUMBANI NA KUIPISHA YANGA IFANYE YAKE
Ushindi huo umeifanya Yanga SCiwang’oekileleni Azam FC ikifikisha pointi 22,moja nyuma ya wanalambalamba ambao hata hivyo, wana mechi moja mkokoni.Katika mechi hiyo ya kiporo ya raundi ya 10 iliyopaswa kuchezwa jijini hapa Januari 10 lakini ikapigwa kalenda na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
9 years ago
GPLNYUMBA YA DIAMOND SI YAKE