Madiba na maisha ya kifamilia
Wakati Nelson Mandela anaongoza Afrika Kusini dhidi ya ubaguzi wa rangi na baadaye kuwa kiongozi maarufu duniani baada ya kutoka jela, inabidi tujiulize ni watu gani ambao walikuwa karibu naye kifamilia, kiroho na kuumia naye na waliomfahamu zaidi ya wote?
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-QH-KGO74buQ/VIR6mq3NFqI/AAAAAAAANuY/LUl0SLWPfvg/s72-c/DSC_6503.jpg)
ACACIA YAFANYA BONANZA KAMAMBE LA KIFAMILIA DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-QH-KGO74buQ/VIR6mq3NFqI/AAAAAAAANuY/LUl0SLWPfvg/s640/DSC_6503.jpg)
10 years ago
Bongo Movies22 Jan
Lulu: Marlow Tumekukosea Nini?Au Ni Majukumu ya Kifamilia..!!!
Mrembo na muigizaji wa filamu aliejijengea jina toka utotoni, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambae kila mtu anajua kuwa huyu ni mshabiki mkubwa wa muziki na wanamuziki wa hapa bongo kwani mara kadhaa amekuwa akijitokeza na kuelezea hisia zake kuhusu nyimbo mbalimbali na wasanii mabilmabli kama Diamond, Ally kiba, Yamoto Band na wengine wengi.
Kwa mara nyingine tena leo kupitia mtandaoni ameonyesha hisia zake za kum-miss msanii wa bongo Fleva ,Marlow ambae kwasasa ameoa na ana familia ni moja...
9 years ago
Bongo522 Sep
Z- Anto anaamini matatizo ya kifamilia yamempoteza kimuziki
9 years ago
Bongo531 Aug
Squeezer: Nilikuwa kimya kwa sababu za kifamilia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1b9iz9BZLlH3pN-FlOguc-g5v5PMrSIaCMNkAErFDRrYiGKRBIaUyDcm*YYQmmppQSEN4TAjU5pz4o2D9jCP3Kn/12_1.jpg?width=650)
NDEGE ILIYOTAKIWA KUPELEKA ASKARI GARISSA ILIKUWA INATUMIWA KIFAMILIA
10 years ago
CloudsFM19 Jan
H.BABA: MWAKA HUU TUZO ZANGU ZA KIFAMILIA NIMEONGEZA CATEGORY,ZIPO ZAIDI YA 20.
Mwaka 2013 ndiyo mwaka ambao msanii wa Bongo Fleva,H baba aliamua kuanzisha tuzo zake za kifamilia ambazo alizitoa kwa ajili ya familia yake,ambapo ilikuwa yeye pamoja na Mke wake Flora Mvungi.
Tuzo hizo walizipa jina la Tuzo za Familia,ambapo Flora Mvungi alipata tuzo za Msanii Bora wa filamu kwa mwaka 2014 na H baba akajipa tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa mwaka 2014.
Baadhi ya category hizo ni mtumbuizaji bora wa mwaka,msanii bora wa mwaka.
11 years ago
Habarileo12 Dec
Kwaheri Madiba
MAELFU ya Waafrika Kusini jana walijitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza Mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika majengo ya Serikali ya Union jijini Pretoria.
Wengine walijipanga barabarani kutoa heshima zao wakati mwili ukipitishwa kutoka hospitalini ulikohifadhiwa na kupelekwa katika majengo ya Union na jioni kurudishwa hospitalini.
Mwili huo ulipelekwa hapo jana asubuhi ili kutoa fursa kwa wananchi kuuaga rasmi kabla ya kusafirishwa kwenda kijijini kwao...
11 years ago
Habarileo11 Dec
Maajabu ya Madiba
KATIKA uhai wake mpambanaji dhidi ya ubaguzi wa rangi duniani, Nelson Mandela, aliishangaza dunia alipotangaza msamaha kwa waliomtesa na akiwa marehemu, amekutanisha viongozi mahasimu wa kisiasa duniani katika uwanja mmoja wakimuaga. Hicho ndicho kilichomsukuma mshindi mwenzake wa Tuzo ya Nobel, Askofu Desmond Tutu, kusema Mandela alikuwa wa maajabu na alionesha maajabu akiwa hivi sasa ni marehemu.
10 years ago
CloudsFM30 Jun
Sugu Amedanganya Bunge Kuhusu Matunzo ya Mtoto...Adai Hayupo Tayari Kuyamaliza Kifamilia: Faiza
Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi, Faiza Ally jana amesema 'Sugu' alidanganya Bunge alipodai hutoa sh.500,000 kila mwezi za matunzo ya mtoto.
Na ingawa Sugu alidai bungeni pia kuwa hulipa ada ya sh. milioni tatu kwa mwaka kwa ajili ya elimu ya mtoto huyo, Faiza amedai ni kwa nusu ya pili tu ya kipindi cha miaka miwili ambayo amekuwa akisoma.
Aidha, mwanamitindo Faiza amesema hayupo tayari kumaliza kifamilia mvutano wa malezi ya mtoto na 'Sugu', kama Mbunge huyo...