Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu: Marlow Tumekukosea Nini?Au Ni Majukumu ya Kifamilia..!!!

Mrembo na muigizaji wa filamu aliejijengea jina toka utotoni, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambae kila mtu anajua kuwa huyu ni mshabiki mkubwa wa muziki na wanamuziki wa hapa bongo kwani mara kadhaa amekuwa akijitokeza na kuelezea hisia zake kuhusu nyimbo mbalimbali na wasanii mabilmabli kama Diamond, Ally kiba, Yamoto Band na wengine wengi.

Kwa mara nyingine tena leo kupitia mtandaoni ameonyesha hisia zake za kum-miss msanii  wa bongo Fleva ,Marlow ambae kwasasa ameoa na ana familia  ni moja...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Madiba na maisha ya kifamilia

Wakati Nelson Mandela anaongoza Afrika Kusini dhidi ya ubaguzi wa rangi na baadaye kuwa kiongozi maarufu duniani baada ya kutoka jela, inabidi tujiulize ni watu gani ambao walikuwa karibu naye kifamilia, kiroho na kuumia naye na waliomfahamu zaidi ya wote?

 

9 years ago

Bongo5

Z- Anto anaamini matatizo ya kifamilia yamempoteza kimuziki

Z-Anto anaamini kilichomuangusha kwenye muziki ni matatizo ya kifamilia. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa kuondoka Tip Top sio sababu ya yeye kupotea kimuziki kama watu wanavyoamini. “Kuna matatizo mengi na mambo mengi ambayo yamekuwa nyuma ya pazia,” amesema. “Lakini vitu ambavyo vimesababisha matatizo ni familia. Sikuweza kusimama kwenye […]

 

9 years ago

Bongo5

Squeezer: Nilikuwa kimya kwa sababu za kifamilia

Rapper Squeezer amewataka mashabiki wake wasiwe na wasiwasi kuwa hatokaa kimya kwa muda mrefu tena. Akiongea na show ya Planet Bongo ya East Africa Radio, rapper huyo mwenye sauti nzito amesema sababu iliyomweka pembeni kwa muda ni kuweka sawa mambo ya kifamilia ambapo kaka kaka mkubwa alikuwa busy baada ya msiba wa baba yake. “Bahati […]

 

10 years ago

Vijimambo

ACACIA YAFANYA BONANZA KAMAMBE LA KIFAMILIA DAR


Mtoto huyu wa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, akichapa maji wakati wa kuogelea ikiwa ni sehemu ya furaha ya wafanyakazi na familia zao kujumuika pamoja kwenye ufukwe wa Azura jijini Dar es Salaam, Jumamosi jioni. Katika sherehe hiyo, watoto na familia zao walipata fursa ya kushiriki michezo tofauti tofauti, kama vile mbio za kufukuza kuku, wanaume kukuna nazi, kuvuta kamba, soka la beach, netiboli au kwa kikwetu, mpira wa pete, Voliboli na pool table. Hali...

 

10 years ago

GPL

NDEGE ILIYOTAKIWA KUPELEKA ASKARI GARISSA ILIKUWA INATUMIWA KIFAMILIA

Ndanu Munene Mbithi (aliyevaa njano) ambaye ni mtoto wa Kammanda Rogers Mbithi, akiwa na rafiki zake kwenye ndege ya Jeshi la Polisi la Kenya. NDEGE ya jeshi la anga la polisi nchini Kenya ambayo ilikuwa itumike kupeleka askari kwenye Chuo Kikuu cha Garissa wakati mauaji ya kigaidi yanaendeshwa dhidi ya wanafunzi, ilikuwa iko Mombasa ikitumiwa kwa mambo binafsi na kamanda wa jeshi hilo, Rogers Mbithi. Sehemu ya ndani ya ndege...

 

10 years ago

CloudsFM

H.BABA: MWAKA HUU TUZO ZANGU ZA KIFAMILIA NIMEONGEZA CATEGORY,ZIPO ZAIDI YA 20.

Mwaka 2013 ndiyo mwaka ambao msanii wa Bongo Fleva,H baba aliamua kuanzisha tuzo zake za kifamilia ambazo alizitoa kwa ajili ya familia yake,ambapo ilikuwa yeye pamoja na Mke wake Flora Mvungi.
Tuzo hizo walizipa jina la Tuzo za Familia,ambapo Flora Mvungi alipata tuzo za Msanii Bora wa filamu kwa mwaka 2014 na H baba akajipa tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa mwaka 2014.
Baadhi ya category hizo ni mtumbuizaji bora wa mwaka,msanii bora wa mwaka.

 

10 years ago

CloudsFM

Sugu Amedanganya Bunge Kuhusu Matunzo ya Mtoto...Adai Hayupo Tayari Kuyamaliza Kifamilia: Faiza

Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi, Faiza Ally jana amesema 'Sugu' alidanganya Bunge alipodai hutoa sh.500,000 kila mwezi za matunzo ya mtoto.

Na ingawa Sugu alidai bungeni pia kuwa hulipa ada ya sh. milioni tatu kwa mwaka kwa ajili ya elimu ya mtoto huyo, Faiza amedai ni kwa nusu ya pili tu ya kipindi cha miaka miwili ambayo amekuwa akisoma.

Aidha, mwanamitindo Faiza amesema hayupo tayari kumaliza kifamilia mvutano wa malezi ya mtoto na 'Sugu', kama Mbunge huyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu

"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "

Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema  hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.

 

 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani