Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Z- Anto anaamini matatizo ya kifamilia yamempoteza kimuziki

Z-Anto anaamini kilichomuangusha kwenye muziki ni matatizo ya kifamilia. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa kuondoka Tip Top sio sababu ya yeye kupotea kimuziki kama watu wanavyoamini. “Kuna matatizo mengi na mambo mengi ambayo yamekuwa nyuma ya pazia,” amesema. “Lakini vitu ambavyo vimesababisha matatizo ni familia. Sikuweza kusimama kwenye […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Madiba na maisha ya kifamilia

Wakati Nelson Mandela anaongoza Afrika Kusini dhidi ya ubaguzi wa rangi na baadaye kuwa kiongozi maarufu duniani baada ya kutoka jela, inabidi tujiulize ni watu gani ambao walikuwa karibu naye kifamilia, kiroho na kuumia naye na waliomfahamu zaidi ya wote?

 

9 years ago

Bongo5

Squeezer: Nilikuwa kimya kwa sababu za kifamilia

Rapper Squeezer amewataka mashabiki wake wasiwe na wasiwasi kuwa hatokaa kimya kwa muda mrefu tena. Akiongea na show ya Planet Bongo ya East Africa Radio, rapper huyo mwenye sauti nzito amesema sababu iliyomweka pembeni kwa muda ni kuweka sawa mambo ya kifamilia ambapo kaka kaka mkubwa alikuwa busy baada ya msiba wa baba yake. “Bahati […]

 

10 years ago

Vijimambo

ACACIA YAFANYA BONANZA KAMAMBE LA KIFAMILIA DAR


Mtoto huyu wa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, akichapa maji wakati wa kuogelea ikiwa ni sehemu ya furaha ya wafanyakazi na familia zao kujumuika pamoja kwenye ufukwe wa Azura jijini Dar es Salaam, Jumamosi jioni. Katika sherehe hiyo, watoto na familia zao walipata fursa ya kushiriki michezo tofauti tofauti, kama vile mbio za kufukuza kuku, wanaume kukuna nazi, kuvuta kamba, soka la beach, netiboli au kwa kikwetu, mpira wa pete, Voliboli na pool table. Hali...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Marlow Tumekukosea Nini?Au Ni Majukumu ya Kifamilia..!!!

Mrembo na muigizaji wa filamu aliejijengea jina toka utotoni, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambae kila mtu anajua kuwa huyu ni mshabiki mkubwa wa muziki na wanamuziki wa hapa bongo kwani mara kadhaa amekuwa akijitokeza na kuelezea hisia zake kuhusu nyimbo mbalimbali na wasanii mabilmabli kama Diamond, Ally kiba, Yamoto Band na wengine wengi.

Kwa mara nyingine tena leo kupitia mtandaoni ameonyesha hisia zake za kum-miss msanii  wa bongo Fleva ,Marlow ambae kwasasa ameoa na ana familia  ni moja...

 

9 years ago

Bongo5

Ngoma moja tu inanirudisha kwenye chati – Z Anto

Z Anto

Z Anto amesema wimbo mmoja tu unaweza kurudisha heshima yake kama atazingatia vitu vinavyohitajika kwenye muziki.

Z Anto

Akizungumza na Bongo5, Z Anto alisema bado ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwakuwa anaamini hakuna kitu kikubwa kilichobadilika.

“Siku zote huwa nachoamini kuwa kurudi kwa msanii wa aina yoyote huwa kunakuja kwa kazi moja peke yake. Kwahiyo suala la kurudi katika hatua ambayo niliiacha sio kazi kubwa kihivyo kwa sababu ubora wa kazi moja peke yake unaweza kunirudisha kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

Diamond Afichua Alivyojifanya Z Anto Na Kula Vya Bure


Neno ‘Impersonator’ ni neno linalotosha kumtisha msanii yeyote. Unaposikia kuwa kuna mtu anatumia jina lako kupata vya bure inaweza ikawa ‘Police Case!’ Lakini, je unafahamu kuwa Diamond alishawahi kujifanya Z-Anto akapendwa na mrembo fulani aliyedhani yeye ni Z-Anto?Kabla Diamond hajakuwa Platnumz, kabla hajapata umaarufu alionao sasa, Z-Anto ndiye aliyekuwa akitikisa ‘airwaves’ na ngoma kama ‘Mpenzi Jini’ pamoja na hit iliyomvukisha mipaka, ‘Binti Kiziwi.’ Wakati huo wasanii wengi Afrika...

 

9 years ago

Bongo5

Z Anto kufanya kazi na management mbili kwa pamoja

Z Anto

Z Anto amesema huenda akafanya kazi na management mbili katika huu ujio wake mpya.

Z Anto

Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi yupo kwenye mazungumzo na management hizo ambazo zinataka kufanya naye kazi pamoja.

“Mimi kazi zangu zitaanda kutoka December, video na audio,” asema. “Pia nipo kwenye mazungumzo na management mpya sio ya Babu Tale, lakini kwa sababu tupo kwenye mazungumzo na zote zinaonesha nia ya kufanya kazi na mimi, sioni tatizo la kuwa na management mbili kwa wakati mmoja....

 

11 years ago

Mwananchi

Keissy adai anaamini katika Serikali moja

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na Mbunge wa Nkasi, Ali Keissy amesema haamini masuala ya serikali mbili wala tatu, anachokiamini ni utawala wa serikali moja.

 

10 years ago

GPL

NDEGE ILIYOTAKIWA KUPELEKA ASKARI GARISSA ILIKUWA INATUMIWA KIFAMILIA

Ndanu Munene Mbithi (aliyevaa njano) ambaye ni mtoto wa Kammanda Rogers Mbithi, akiwa na rafiki zake kwenye ndege ya Jeshi la Polisi la Kenya. NDEGE ya jeshi la anga la polisi nchini Kenya ambayo ilikuwa itumike kupeleka askari kwenye Chuo Kikuu cha Garissa wakati mauaji ya kigaidi yanaendeshwa dhidi ya wanafunzi, ilikuwa iko Mombasa ikitumiwa kwa mambo binafsi na kamanda wa jeshi hilo, Rogers Mbithi. Sehemu ya ndani ya ndege...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani