Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Keissy adai anaamini katika Serikali moja

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na Mbunge wa Nkasi, Ali Keissy amesema haamini masuala ya serikali mbili wala tatu, anachokiamini ni utawala wa serikali moja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Cassim adai anaamini biashara ya album itarejea tena

Cassim Mganga amedai kuwa pamoja na biashara ya album kufa, dalili zinaonesha kuwa mbeleni itarejea tena. Cassim ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa wimbo mmoja ukiusimamia vizuri unaweza ukakulipa zaidi ya album. “Kama mwanamuziki lazima uwe na album lakini sasa hivi biashara ya album imekuwa ngumu sana. Watu wanapata pesa za kuendesha maisha kupitia shows. Kwahiyo […]

 

10 years ago

Mtanzania

Keissy aitaka Serikali kulipa riba kwa wakulima

ally kessyNa Debora Sanja, Dodoma

MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Ali Keissy (CCM), ameitaka Serikali kuwalipa wakulima fedha zao pamoja na riba kutokana na kuwacheleweshea malipo yao kwa muda mrefu.
Akiuliza swali bungeni jana, Keissy alisema Serikali imekuwa ikilipa riba mbalimbali kutokana na kuchelewa kulipa madeni ya wazabuni na kutaka wakulima walioiuzia Serikali mahindi yao walipwe riba.
“Serikali inasema nini kuhusu kuwalipa wakulima hao fedha zao pamoja na riba kwa kuwa toka mwaka jana hadi sasa...

 

11 years ago

Michuzi

Zaidi ya Taasisi 30 za Serikali kushiriki katika maonesho ya wiki moja ya utumishi wa Umma

  Naibu Katibu Mkuu toka Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma Hab Mkwizu (kulia) akisistiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)  jijini Dar es Salaam juu ya maadhimisho ya siku ya utumishi wa umma  yanayotarajia kuanza tarehe16 Juni, kushoto ni Mkurugenzi Idara ya Habari assah Mwambene.   Naibu Katibu Mkuu toka Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma HAB Mkwizu (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)  jijini Dar es Salaam wakati...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO



 Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline.
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiweka shada la maua. Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Mwananchi

Kafulila adai Serikali inataka kumuua

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema endapo itatokea kwa namna yoyote akafa, mhusika mkuu wa kifo chake itakuwa “Serikali ya CCM” na ameagiza kuwa kamwe wasifike kwenye msiba wake wala kutoa rambirambi.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge adai watumishi wa serikali wanadhoofisha maendeleo

Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Omari Nundu Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Omari Nundu, amesema watumishi wa serikali wanachangia kurudisha maendeleo ya wananchi nyuma.

Alisema halmashauri zimeshindwa kutimiza ahadi ambazo serikali imezitoa kwa wananchi kutokana na watumishi kukosa uaminifu.

Nundu ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Uchukuzi, aliyasema hayo jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Tangamano mjini hapa ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha...

 

9 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah adai serikali iliyopita haijawanufaisha wasanii

Rapper Kala Jeremiah amesema serikali inayomaliza muda wake haijawasaidia wasanii. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio rapper huyo amesema yeye kwa upande wake haoni kilichofanywa na serikali huku akisema bado kazi zao zinauzwa mitaani. “Watu wanatengeza CD ya Kala Jeremiah, anachanganya na msanii mwingine halafu anauza mtaani. Tunakutana nao hao wanakugongea […]

 

10 years ago

Vijimambo

'Bwege' adai wananchi ndio wameochoka kuibeba Serikali ya CCM


Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Said Bungara ‘Bwege’ Pichani (CUF), ametofautiana na wabunge wenzake wa upinzani wanaosema Serikali ya CCM imechoka, badala yake amesema Watanzania ndio waliochoka kuibeba.
Alisema wapo wabunge wanaoitetea serikali, kwa kuibeba, lakini wapo wabunge wanaofanya kazi zao za kuikosoa.

Akichangia hotuba ya mwelekeo wa kazi za serikali, makadirio ya matumizi ya fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge kwa mwaka 2015/16 iliyowasilishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda,...

 

11 years ago

Mwananchi

Maige adai kuwa na Serikali tatu nchi itaingia maajabu ya dunia

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Almas Maige amesema endapo wajumbe wa Bunge hilo watapitisha muundo wa Serikali tatu, nchi itaingia katika kitabu cha maajabu ya dunia cha Guiness Book of Records.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani