Zaidi ya Taasisi 30 za Serikali kushiriki katika maonesho ya wiki moja ya utumishi wa Umma
Naibu Katibu Mkuu toka Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma Hab Mkwizu (kulia) akisistiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juu ya maadhimisho ya siku ya utumishi wa umma yanayotarajia kuanza tarehe16 Juni, kushoto ni Mkurugenzi Idara ya Habari assah Mwambene.
Naibu Katibu Mkuu toka Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma HAB Mkwizu (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam wakati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LuR_yz-NAoQ/U6RAwRz5n6I/AAAAAAAFr-o/_q19glYltwQ/s72-c/No.+1.jpg)
Wananchi wahimizwa kutembelea Banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Wananchi wamehimizwa kutembelea banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wito huo umetolewa na Afisa wa Maadili Mwandamizi Bw. Bazilio Mwanakatwe wakati akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho hayo.
Bw. Mwanakatwe aliendelea kubainisha kuwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-77bxu2GXe3M/XuY7QpwTL7I/AAAAAAALty8/baT_F4dIAYcmUEJvC4ziVLgBhEJNj9reACLcBGAsYHQ/s72-c/e8bc8640-2d9b-4ea5-a823-5c140f5d3327.jpg)
SERIKALI YAZIELEKEZA TAASISI ZA UMMA KUADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MWAKA 2020 KWA KUDUMISHA USHIRIKIANO NA WADAU
![](https://1.bp.blogspot.com/-77bxu2GXe3M/XuY7QpwTL7I/AAAAAAALty8/baT_F4dIAYcmUEJvC4ziVLgBhEJNj9reACLcBGAsYHQ/s640/e8bc8640-2d9b-4ea5-a823-5c140f5d3327.jpg)
***********************************
Na: James Mwanamyoto – Dodoma
Tarehe 14 Juni, 2020
Taasisi za umma nchini zimeelekezwa kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-C64qX8OOPc0/VYaFN1Z3LdI/AAAAAAAHiHo/gCwzVFToh2w/s72-c/IMG_7333.jpg)
MAHAKAMA YASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-C64qX8OOPc0/VYaFN1Z3LdI/AAAAAAAHiHo/gCwzVFToh2w/s640/IMG_7333.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-KXMMeOD_-bQ/VYaFN39EllI/AAAAAAAHiHs/MsmKC4vDGBk/s640/IMG_7358.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-z1H-enbStHM/VYaFN0_7B0I/AAAAAAAHiHw/-VDisByNAcE/s640/IMG_7365%2B%25281%2529.jpg)
10 years ago
GPLPSPF YATOA ELIMU KATIKA WIKI YA MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA
10 years ago
Michuzi24 Jun
Muhimbili yazichachafya taasisi za Serikali 84 Wiki ya Utumishi wa Umma
Katika tuzo hii MNH...
11 years ago
MichuziSSRA katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Viwanja vya Mnazi Mmoja
10 years ago
MichuziNHIF YAZOA VIKOMBE VYA UBUNIFU KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-VSWWKB7JosM/U6LlR_EG0SI/AAAAAAABA_g/tLyGZx6K34U/s72-c/g5.jpg)
MFUKO WA DHAMANA YA UWEKEZAJI TANZANIA (UTT) WAVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-VSWWKB7JosM/U6LlR_EG0SI/AAAAAAABA_g/tLyGZx6K34U/s1600/g5.jpg)
Ofisa Mafuzo wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Hilder Lyimo akitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliohudhuria Monesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo.
![](http://1.bp.blogspot.com/-W0ZUJ834-G0/U6LEbvMBk0I/AAAAAAABA-A/1RBel3HXzug/s1600/g3.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0ymaUXgznnI/U6LgX6CbRMI/AAAAAAAFru0/4O3IA-C7cgI/s72-c/unnamed+(6).jpg)
MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA TCAA YATIA FOLA KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-0ymaUXgznnI/U6LgX6CbRMI/AAAAAAAFru0/4O3IA-C7cgI/s1600/unnamed+(6).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-qR6Qe-SJQjs/U6LgYFxHPII/AAAAAAAFru4/zUanGEVp0as/s1600/unnamed+(7).jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10