MFUKO WA DHAMANA YA UWEKEZAJI TANZANIA (UTT) WAVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-VSWWKB7JosM/U6LlR_EG0SI/AAAAAAABA_g/tLyGZx6K34U/s72-c/g5.jpg)
Watu waliofika katika banda la Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), wakimsikiliza Ofisa Masoko na Uhusiano wa Mfuko huo, Rahim Mwanga wakati wa Maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma.
Ofisa Mafuzo wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Hilder Lyimo akitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliohudhuria Monesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo.
Elimu kuhusu mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji ilitolewa kwa watu waliofika katika banda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0ymaUXgznnI/U6LgX6CbRMI/AAAAAAAFru0/4O3IA-C7cgI/s72-c/unnamed+(6).jpg)
MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA TCAA YATIA FOLA KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-0ymaUXgznnI/U6LgX6CbRMI/AAAAAAAFru0/4O3IA-C7cgI/s1600/unnamed+(6).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-qR6Qe-SJQjs/U6LgYFxHPII/AAAAAAAFru4/zUanGEVp0as/s1600/unnamed+(7).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LuR_yz-NAoQ/U6RAwRz5n6I/AAAAAAAFr-o/_q19glYltwQ/s72-c/No.+1.jpg)
Wananchi wahimizwa kutembelea Banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Wananchi wamehimizwa kutembelea banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wito huo umetolewa na Afisa wa Maadili Mwandamizi Bw. Bazilio Mwanakatwe wakati akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho hayo.
Bw. Mwanakatwe aliendelea kubainisha kuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-C64qX8OOPc0/VYaFN1Z3LdI/AAAAAAAHiHo/gCwzVFToh2w/s72-c/IMG_7333.jpg)
MAHAKAMA YASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-C64qX8OOPc0/VYaFN1Z3LdI/AAAAAAAHiHo/gCwzVFToh2w/s640/IMG_7333.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-KXMMeOD_-bQ/VYaFN39EllI/AAAAAAAHiHs/MsmKC4vDGBk/s640/IMG_7358.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-z1H-enbStHM/VYaFN0_7B0I/AAAAAAAHiHw/-VDisByNAcE/s640/IMG_7365%2B%25281%2529.jpg)
10 years ago
GPLPSPF YATOA ELIMU KATIKA WIKI YA MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA
10 years ago
MichuziNHIF YAZOA VIKOMBE VYA UBUNIFU KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.
11 years ago
MichuziSSRA katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Viwanja vya Mnazi Mmoja
11 years ago
Michuzi12 Jun
Zaidi ya Taasisi 30 za Serikali kushiriki katika maonesho ya wiki moja ya utumishi wa Umma
![](https://3.bp.blogspot.com/-38p8CGmQ05U/U5h8LFEw_dI/AAAAAAACz4Y/h65ve9m7L2E/s1600/N.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-YugxqwLOOtw/U5h8NHPXI_I/AAAAAAACz4g/OgmErnkwWlI/s1600/Pix-02.jpg)
10 years ago
MichuziUTUMISHI YAKABIDHIWA ZAWADI YA USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA YALIYOFANYIKA CONGO BRAZAVILLE
10 years ago
MichuziUTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2015
Ofisa Mafunzo Idara ya Masoko UTT AMIS, Waziri Ramadhani (kulia) akitoa maelezo ya namna ya kujiunga na Mfuko wa Umoja wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa wa Mafunzo wa...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10