Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Keissy aitaka Serikali kulipa riba kwa wakulima

ally kessyNa Debora Sanja, Dodoma

MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Ali Keissy (CCM), ameitaka Serikali kuwalipa wakulima fedha zao pamoja na riba kutokana na kuwacheleweshea malipo yao kwa muda mrefu.
Akiuliza swali bungeni jana, Keissy alisema Serikali imekuwa ikilipa riba mbalimbali kutokana na kuchelewa kulipa madeni ya wazabuni na kutaka wakulima walioiuzia Serikali mahindi yao walipwe riba.
“Serikali inasema nini kuhusu kuwalipa wakulima hao fedha zao pamoja na riba kwa kuwa toka mwaka jana hadi sasa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali kulipa riba Sh5 bilioni deni la miezi sita

Serikali italazimika kulipa hasara ya zaidi ya Sh5.2 bilioni (Dola za Marekani milioni 3.1) ambazo ni riba ya malimbikizo ya malipo ya miezi sita kwa Kampuni ya Jacobsen Elekron AS inayotekeleza awamu ya kwanza ya mradi wa umeme wa Kinyerezi, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Malkia wa Uholanzi aitaka Serikali kusaidia wakulima

Malkia Maxima wa UholanziMALKIA Maxima wa Uholanzi, ameitaka Serikali kuelekeza juhudi zaidi katika kusaidia wakulima na kuwatafutia masoko ya mazao wanayozalisha ili waweze kuinua hali zao za maisha.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kulipa madeni ya wakulima wa mahindi

>Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi ameahidi kulipa deni la Sh5.7 bilioni inalodaiwa na wakulima wa mahindi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri Mkuya aitaka NMB kupunguza riba

WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya, ameuomba uongozi wa Benki ya NMB kuangalia jinsi ya kuwainua watanzania kwa kupunguza viwango vya riba. Mkuya aliyasema hayo mwishoni mwa wiki katika...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO ATOA SAA 48 KWA KAMPUNI YA SPARKWAY LTD KULIPA BILLION 3.4 KWA WAKULIMA WA KOROSHO

 Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba atoa saa 48 kwa kampuni ya Sparkway ltd kuwalipa wakulima wa korosho wa Mkoa wa pwani, kiasi cha Bilioni 3.4 za mauzo ya korosho kufuatia agizo hilo,Wakulima waliouza Korosho  wataanza kulipwa jumatatu ya Desemba 21, mwaka huu.Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba wakati akizungumza mkoani Pwani leo.

 

9 years ago

Global Publishers

Mwigulu atoa saa 48 kwa kampuni ya Sparkway ltd kulipa wakulima

12366312_784366415022667_2714867517536111848_nWaziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mh.Mwigulu Lameck Nchemba akiongea jambo.

Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mh.Mwigulu Lameck Nchemba atoa saa 48 kwa kampuni ya Sparkway ltd kulipa BIllion 3.4 kwa wakulima wa korosho Mkoa wa pwani.
Kufuatia agizo hio,Wakulima waliouza korosho hiyo wataanza kulipwa jumatatu ya tar.21.12.2015.

 

11 years ago

Mwananchi

Keissy adai anaamini katika Serikali moja

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na Mbunge wa Nkasi, Ali Keissy amesema haamini masuala ya serikali mbili wala tatu, anachokiamini ni utawala wa serikali moja.

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AITAKA SERIKALI KURAHISISHA UTOAJI WA LESENI KWA WAFANYABIASHARA,MADEREVA WA MAGARI NA BODABODA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua rasmi Chanjo ya  watoto kuzuia maambukizi ya magonjwa katika kata ya Nyakisasa kijiji cha Kashinga akiwa katika ziara yake ya kikazi wilayani Ngara mkoani Kagera,lengo la ziara hiyo likiwani ni kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa chama, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na ktibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na viongozi mbalimbali wa CCM  kutoka mkoa wa Kagera. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

11 years ago

Habarileo

Watumia noti bandia kulipa wakulima wa ufuta

WAFANYABIASHARA wilayani Nachingwea mkoani Lindi wanadaiwa kutumia fedha bandia kununulia zao la ufuta.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani