Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuya aitaka NMB kupunguza riba

WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya, ameuomba uongozi wa Benki ya NMB kuangalia jinsi ya kuwainua watanzania kwa kupunguza viwango vya riba. Mkuya aliyasema hayo mwishoni mwa wiki katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

10 years ago

Mtanzania

Keissy aitaka Serikali kulipa riba kwa wakulima

ally kessyNa Debora Sanja, Dodoma

MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Ali Keissy (CCM), ameitaka Serikali kuwalipa wakulima fedha zao pamoja na riba kutokana na kuwacheleweshea malipo yao kwa muda mrefu.
Akiuliza swali bungeni jana, Keissy alisema Serikali imekuwa ikilipa riba mbalimbali kutokana na kuchelewa kulipa madeni ya wazabuni na kutaka wakulima walioiuzia Serikali mahindi yao walipwe riba.
“Serikali inasema nini kuhusu kuwalipa wakulima hao fedha zao pamoja na riba kwa kuwa toka mwaka jana hadi sasa...

 

10 years ago

Michuzi

Taasisi za kifedha zashauri kupunguza riba

Dkt Mary Nagu Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji akiongea kwenye kongamano la uwekezaji kwa mikoa ya ukanda wa ziwa Tanganyika lililofanyika mjini sumbawanga mwishoni mwa wiki. hawapo pichani washiriki wa kongamano hilo Washiriki wa kongamano la uwekezaji ambao ni wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi wakifuatilia kwa umakini mjadala wa kongamano hilo kwenye uwanja wa Nelsoni Mandela Mjini Sumbanga Mkoani Rukwa.
Na Kibada Kibada Rukwa.
Waziri wa Uwekezaji na uwezeshaji Dkt Mary Nagu ...

 

11 years ago

Habarileo

BoT yatakiwa kupunguza riba kwa mabenki

MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Said Amanzi ameomba menejimenti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kuangalia uwezekano wa kupunguza riba kwa benki za kawaida, zinazotoa mikopo kwa wajasiriamali na wananchi wa kawaida.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kerry aitaka China kupunguza misukosuko

Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani John Kerry amezumgumzia misukosuko inayozidi kuongezeka kusini mwa bahari ya China.

 

10 years ago

Vijimambo

NAWERA AITAKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUPUNGUZA BEI KUBWA ZA DAWA NCHINI


Elias NaweraNa Dotto Mwaibale
MWENYEKITI wa Chama cha Walaji na Tiba Tanzania , Elias Nawera, ameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kutatua changamoto ya bei kubwa ya dawa za binadamu wanayotozwa Watanzania.
Nawera alisema sera ya afya inasema kila mtu ana haki ya kupata huduma za afya kwa bei nafuu, lakini bado Watanzania wengi wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kununua dawa kwa bei kubwa.“Tunaomba Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii aingilie kati suala hili,wanaoteseka kwa kiwango...

 

9 years ago

Habarileo

Waziri Mpango kukabili riba kubwa

BAADA ya kushughulikia wakwepa kodi ndani ya siku 27 alizokaa Mamlaka ya Mapato (TRA), Waziri mpya wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amehamishia nguvu zake katika sekta ya fedha hasa benki, akizitaka zipunguze riba.

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA NMB MBEYA YASAIDIA KUPUNGUZA TATIZO LA MADAWATI MASHULENI.

 Meza kuu ikiwa na wageni mbali mbali waalikwa waliohudhuria hafla ya kukabidhi madawati kwa Shule tatu za Jiji la Mbeya kutoka benki ya NMB Mbeya. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Azimio wakiwa wamekalia madawati ambayo yametolewa kwa shule hiyo na Benki ya NMB. Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Nyanda za juu kusini, Lecrisia Makiriye, akitoa taarifa ya msaada wanaokabidhi katika hafla iliyofanyika shule ya Msingi Azimio. Mstahiki wa Jiji la Mbeya, Atanus Kapunga, akipokea Msaada wa madawati...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri Mkuya ajikanganya

Dar es Salaam. Ndani ya saa 24, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya ametoa kauli mbili zinazokinzana kuhusu fedha za Uchaguzi Mkuu baada ya juzi kuliambia gazeti hili kuwa fedha kwa ajili ya shughuli hiyo zilikwishatengwa mwaka jana, lakini jana akaziweka kwenye mapendekezo ya bajeti mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani