Waziri Mpango kukabili riba kubwa
BAADA ya kushughulikia wakwepa kodi ndani ya siku 27 alizokaa Mamlaka ya Mapato (TRA), Waziri mpya wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amehamishia nguvu zake katika sekta ya fedha hasa benki, akizitaka zipunguze riba.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana.
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...
11 years ago
Mwananchi04 Jul
Prof Tibaijuka alia na riba kubwa za benki
>Riba kubwa za beki ni changamoto kubwa inayoikabili sekta ya nyumba nchini hali ambayo inasababisha nyumba zinazokopeshwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), zionekane zina bei kubwa.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Waziri Mkuya aitaka NMB kupunguza riba
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya, ameuomba uongozi wa Benki ya NMB kuangalia jinsi ya kuwainua watanzania kwa kupunguza viwango vya riba. Mkuya aliyasema hayo mwishoni mwa wiki katika...
5 years ago
MichuziWAZIRI MPANGO:TAARIFA YA HALI YA UCHUMI 2019, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA MWAKA 2020/21 ZIMEZINGATIA DHANA YA USHIRIKISHWAJI MPANA WA WADAU
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango amesema taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21 zimezingatia dhana ya ushirikishwaji mpana wa wadau katika hatua za uandaaji na maamuzi katika ngazi zote Serikalini.
Akizungumza Bungeni Mjini Dodoma leo wakati anawasilisha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2020/21 ambapo ametumia nafasi hiyo kufafanua yamezingatia...
5 years ago
MichuziMUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO,DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2020/21
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/bf85576d-97a1-40b8-a91d-a5ec6a2e0797.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/9a9a7b86-710c-425b-9f91-b10ac71598ca.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0kxgOh3uIYM/XrL6JO4ejGI/AAAAAAALpVA/BVSKZz2I0c45FSzi8so-0hQaMVwWpHMswCLcBGAsYHQ/s72-c/thumbnail.jpg)
GGML yamkabidhi Waziri Ummy Sh bilioni 1.1 kukabili Corona
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, amepokea hundi ya Sh bilioni 1.1 kutoka kwa Kampuni ya Uchimbaji Madini Geita (GGML) ili kukabiliana na mapambano dhidi ya maambukizi ya Corona.
Pia ametoa wito kwa viwanda vya ndani kuchangamkia fursa za uzalishaji wa vifaa tiba na kinga dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 kutokana na fedha zinazochangwa na makampuni mbalimbali nchini.
Waziri Ummy ametoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, wakati akipokea hundi hiyo kutoka GGML ambayo...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU APOKEA SH. BIL 6.226 KUKABILI CORONA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea kutoka kwa wadau msaada wa fedha pamoja na vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) wenye thamani ya sh....
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU APOKEA SH. MILIONI 500 KUKABILI CORONA
5 years ago
MichuziWAZIRI MPANGO AWASILISHA BAJETI YA SH.TRILIONI 34.88
*Ni bajeti yenye kujali Watanzania wanyonge, yatoa mwanga wa maendeleo ya nchi yetu.Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
NI bajeti ya kumjali Mtanzania na kuleta maendeleo kwa Watanzania wote.Hivyo ndivyo unavyoweza kuieleza Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2020/2021 yenye jumla ya Sh.trilioni 34.88 .
Bajeti hiyo ambayo imewasilishwa leo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania