WAZIRI MKUU APOKEA SH. MILIONI 500 KUKABILI CORONA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya Sh. 500,000,000/= kutoka kwa Kampuni ya Export Trading Group, ukiwa ni mchango wa Kampuni hiyo kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. Kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano, Frank Mtui, Kiongozi wa Kampuni (Tanzania) Niladri Choudhury, Afisa Uhusiano, Fatma Ally.
Waziri Mkuu, Kassim...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU APOKEA SH. BIL 6.226 KUKABILI CORONA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea kutoka kwa wadau msaada wa fedha pamoja na vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) wenye thamani ya sh....
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU APOKEA MISAADA YA BILIONI 1.1 KUKABILIANA NA CORONA COVID-19
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Kinondoni yatumia milioni 500/- kukabili kipindupindu
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imetumia zaidi ya Sh milioni 500 kupambana na kipindupindu tangu kilipozuka Agosti 15 mwaka huu.
Hadi sasa watu 1194 wameugua ugonjwa huo katika Manispaa hiyo na 17 wamefariki dunia.
Akizungumza baada ya kupokea msaada wa dawa na vifaa tiba uliotolewa na Benki ya CRDB, Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Mussa Natty, alisema kila siku kuna wagonjwa wapya wanaripotiwa na jana walikuwa 15.
Msaada huo wenye thamani ya Sh milioni...
5 years ago
MichuziBAJETI YA FEDHA ZAIDI YA DOLA MILIONI 94 YAPITISHWA JUMUIYA YA SADC, MAWAZIRI WAWEKA MKAKATI KUKABILI CORONA...WAZIRI PROF. KABUDI ATOA NENO
JUMUIYA ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC)imepitisha bajeti ya fedha ya Dola za Marekani milioni 94,913,815 kwa mwaka 2020/ 2021.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari baada ya kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jumuiya hiyo Katibu Mtendaji wa Jumuiya hiyo Dk.Stergomena Tac amesema fedha hizo zitatumika kwenye masuala mbalimbali yanayohusu Jumuiya.
"Pamoja na ajenda mbalimbali ambazo zimejadiliwa ,pia Jumuiya imepitisha bajeti ya fedha kwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZdrE7uIccwg/XoHu2i5XtHI/AAAAAAALljw/6SVlKdgKDC4yhveUFLWB9zHQkDJunT3xQCLcBGAsYHQ/s72-c/02.jpg)
BENKI YA NMB YAKABIDHI SHILINGI MILIONI 100 KWA WAZIRI MKUU KUPAMBANA NA CORONA
Waziri mkuu amekabidhiwa fedha hizo na Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB-Ruth Zaipuna mwishoni mwa wiki katika ofisi ya Waziri Mkuu, Dar es Salaam.
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZdrE7uIccwg/XoHu2i5XtHI/AAAAAAALljw/6SVlKdgKDC4yhveUFLWB9zHQkDJunT3xQCLcBGAsYHQ/s640/02.jpg)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa tatu kushoto) akipokea hundi ya Sh. Milioni 100 kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona kutoka kwa Kaimu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0kxgOh3uIYM/XrL6JO4ejGI/AAAAAAALpVA/BVSKZz2I0c45FSzi8so-0hQaMVwWpHMswCLcBGAsYHQ/s72-c/thumbnail.jpg)
GGML yamkabidhi Waziri Ummy Sh bilioni 1.1 kukabili Corona
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, amepokea hundi ya Sh bilioni 1.1 kutoka kwa Kampuni ya Uchimbaji Madini Geita (GGML) ili kukabiliana na mapambano dhidi ya maambukizi ya Corona.
Pia ametoa wito kwa viwanda vya ndani kuchangamkia fursa za uzalishaji wa vifaa tiba na kinga dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 kutokana na fedha zinazochangwa na makampuni mbalimbali nchini.
Waziri Ummy ametoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, wakati akipokea hundi hiyo kutoka GGML ambayo...
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SH.MILIONI 50
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lL2zlv-9190/XrUyw2XExWI/AAAAAAALpeY/jqf-MEZi6D8ywW_3smkW0HcB3Y6wqKv5QCLcBGAsYHQ/s72-c/6d92ec28-72f4-46f2-8e07-8e14b96d4b25.jpg)
RC TANGA APOKEA VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 20.4 KUTOKA TANGA CEMENT KWA AJILI KUKABILIANA NA CORONA
Mwandishi Wetu, Michuzi TV -Tanga
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amepokea misaada yenye thamani ya jumla ya Shilingi milioni 20.4 kutoka Kampuni ya Tanga Cement kwa ajili ya kukabiliana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.
Akizungumza baada ya kupokea msaada huo mkoani hapa, Shigile amesema kuwa kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo wanaishukuru kampuni hiyo kwa namna ilivyoguswa katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
"Kama...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-I10155O3WVU/VaebnubzqQI/AAAAAAAHqFk/vVFK4gaLXjI/s72-c/unnamed%2B%252886%2529.jpg)
WAZIRI MKUU PINDA APOKEA TAARIFA YA MKOA WA KATAVI
![](http://1.bp.blogspot.com/-I10155O3WVU/VaebnubzqQI/AAAAAAAHqFk/vVFK4gaLXjI/s640/unnamed%2B%252886%2529.jpg)