Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof Tibaijuka alia na riba kubwa za benki

>Riba kubwa za beki ni changamoto kubwa inayoikabili sekta ya nyumba nchini hali ambayo inasababisha nyumba zinazokopeshwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), zionekane zina bei kubwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)Ukumbi wa Diamond Jubilee ukiwa umefurika Wazee waliokuja kumsikiliza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Ukumbi ulifurika kila kona.
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...

 

10 years ago

GPL

MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI

Waziri wa Madini na Nishati, Profesa Sospeter Muhongo. WABUNGE kwa pamoja wamekubaliana kuondoa maazimio 12 yaliyoletwa bungeni na Kamati ya PAC na kuleta maazimio mapya 8 ambayo yamekubaliwa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema. Mojawapo ya maazimio hayo ni Mamlaka ya uteuzi kutakiwa iwawajibishe na kushauriwa kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo, Mwanasheria… ...

 

9 years ago

Habarileo

Waziri Mpango kukabili riba kubwa

BAADA ya kushughulikia wakwepa kodi ndani ya siku 27 alizokaa Mamlaka ya Mapato (TRA), Waziri mpya wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amehamishia nguvu zake katika sekta ya fedha hasa benki, akizitaka zipunguze riba.

 

11 years ago

Habarileo

Makinda- Benki zipunguze riba

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amesema ili sekta ya benki itoe mchango wake kikamilifu katika kukuza uchumi wa Taifa, ni muhimu kwa benki hizo kurahisisha masharti ya mikopo pamoja na kupunguza viwango vya riba ambavyo kwa sasa viko juu mno.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Benki yapunguza riba mikopo ya nyumba

BENKI ya Afrika Tanzania imetoa ofa ya miezi sita ya punguzo la riba ya mkopo wa nyumba kutoka asilimia 18 hadi 16, ili kuwawezesha wananchi wengi kumiliki nyumba. Akizungumza na...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wananchi wafurahia riba za mikopo benki kupunguzwa


NA RACHEL KYALA
WANANCHI mbalimbali jijini Dar es Salaam wametoa maoni yao kuhusu bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015, iliyosomwa bungeni mjini Dodoma jana na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya.
Wakizungumza na Uhuru kwa nyakati tofauti mjini Dar es Salaam jana, wananchi hao wameeleza kufurahishwa na bajeti hiyo, hususan katika masuala ya benki kutakiwa kupunguza riba na kufutwa kwa ushuru katika uhaulishaji wa pesa.
Baadhi ya wananchi wamesema wamefurahishwa na uamuzi wa serikali...

 

9 years ago

Mwananchi

Dola yapandisha kiwango cha riba benki

Dar es Salaam.  Naibu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki M, Jacqueline Woiso amesema mfumuko wa bei, kuporomoka kwa shilingi na kupanda kwa thamani ya Dola kumechangia kwa kiasi kikubwa kupandisha riba katika benki mbalimbali nchini.

 

5 years ago

Michuzi

Wafanyakazi sasa kujiachia na riba hadi asilimia 14 kutoka Benki ya CRDB

Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya "Jiachie Utakavyo" ambapo wafanyakazi wa taasisi za umma na binafsi wataanza kufurahia riba ya hadi asilimia 14 huku wakiwa na uhuru wakuchagua muda wa kurejesha mkopo. Wengine pichani ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi, Stephen Adili (Wakwanza kushoto) na Meneja Mwanadamizi Mikopo ya Wafanyakazi, Farida Hamza

=====   =====   =====

Benki ya CRDB imezindua kampeni maalumu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mloganzila wamkomalia Prof. Tibaijuka

WAKAZI wa Kwembe, Kisopwa na Mloganzila katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, wameandamana hadi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishinikiza kuonana na Waziri, Profesa Anna Tibaijuka,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani