Benki yapunguza riba mikopo ya nyumba
BENKI ya Afrika Tanzania imetoa ofa ya miezi sita ya punguzo la riba ya mkopo wa nyumba kutoka asilimia 18 hadi 16, ili kuwawezesha wananchi wengi kumiliki nyumba. Akizungumza na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Wananchi wafurahia riba za mikopo benki kupunguzwa
NA RACHEL KYALA
WANANCHI mbalimbali jijini Dar es Salaam wametoa maoni yao kuhusu bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015, iliyosomwa bungeni mjini Dodoma jana na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya.
Wakizungumza na Uhuru kwa nyakati tofauti mjini Dar es Salaam jana, wananchi hao wameeleza kufurahishwa na bajeti hiyo, hususan katika masuala ya benki kutakiwa kupunguza riba na kufutwa kwa ushuru katika uhaulishaji wa pesa.
Baadhi ya wananchi wamesema wamefurahishwa na uamuzi wa serikali...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Saccos yapunguza riba kwa wanachama wake
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lcISUFa9dcw/VbBIrLSnZPI/AAAAAAAHrPw/75nUnaAFECc/s72-c/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
Benki ya NBC yazindua ’Hamia Kwako’ ni huduma ya mikopo ya nyumba
![](http://3.bp.blogspot.com/-lcISUFa9dcw/VbBIrLSnZPI/AAAAAAAHrPw/75nUnaAFECc/s640/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-LfuRKlC-EkM/VbBIsRHPiiI/AAAAAAAHrQA/DAGrXJTMSO8/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Benki ya CBA kuuza nyumba za kampuni Avic kwa mikopo ya masharti nafuu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania Bw.Julius Mcharo (katikati) akiwa pamoja na maofisa wa CBA na Avic International Real Estate wakiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) muda mfupi kabla ya kusaini mkataba ambapo CBA itawakopesha wateja wanaotaka kununua nyumba zilizojengwa na kampuni hiyo katika eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi wa Benki ya CBA,Bi.Hyasintha Mwimanzi akiwaleza waandishi wa habari utaratibu wa mkopo wa nyumba...
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAWATAKA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI 'DIASPORA' KUKOPA MIKOPO YA NYUMBA
11 years ago
Habarileo09 Mar
‘Msitoze riba mikopo ya matrekta’
SERIKALI imeziagiza kampuni zinazokopesha vifaa vya kilimo yakiwemo matrekta madogo (power tiller) na makubwa kwa wakulima, kuacha mara moja kutoza riba kwa mikopo kwa vile vifaa hivyo vimefutiwa kodi. Katika hatua nyingine, serikali nayo imeombwa kuondoa ushuru wa kodi kwa matela ya matrekta, hususani ya power tiller ili kuwapunguzia gharama za ununuzi wakulima hatua itakayoharakisha mipango ya kuingia kwenye kilimo cha kisasa.
9 years ago
VijimamboWATUMISHI HOUSING COMPANY, BENKI YA CRDB WATIA SAINI MKATABA WA MIKOPO YA NYUMBA KWA WATUMISHI WA UMMA
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (kulia), akitia saini mkataba huo. Kutoka kushoto ni Chief Operation Officer wa WHCTZ, Weja Ng'olo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TMRC, Oscar Mgaya, Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dk.Fred Msemwa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Charles Kimei.
5 years ago
BBCSwahili18 Jun
Xi Jinping: China kufuta mikopo isiokuwa na riba kwa mataifa ya Afrika
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Benki ya NMB yazindua mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa mikopo, wateja sasa kupata mikopo ndani ya siku 4
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc Ineke Bussemaker akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa za mikopo uliozinduliwa na Benki hiyo. Mfumo huo utatutumika kwenye kanzi data ya Mikopo ya Benki hiyo ( CRB’s) kwa lengo la kuwawezesha wateja wakubwa na wadogo wa wanaoomba mikopo kuipata ndani ya siku 1 hadi 4 .
Afisa Mkuu Udhibiti wa Hasara wa Benki ya NMB Bw. Tom Borghols (wa pili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari (hawapo...