Wananchi wafurahia riba za mikopo benki kupunguzwa
NA RACHEL KYALA
WANANCHI mbalimbali jijini Dar es Salaam wametoa maoni yao kuhusu bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015, iliyosomwa bungeni mjini Dodoma jana na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya.
Wakizungumza na Uhuru kwa nyakati tofauti mjini Dar es Salaam jana, wananchi hao wameeleza kufurahishwa na bajeti hiyo, hususan katika masuala ya benki kutakiwa kupunguza riba na kufutwa kwa ushuru katika uhaulishaji wa pesa.
Baadhi ya wananchi wamesema wamefurahishwa na uamuzi wa serikali...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Benki yapunguza riba mikopo ya nyumba
BENKI ya Afrika Tanzania imetoa ofa ya miezi sita ya punguzo la riba ya mkopo wa nyumba kutoka asilimia 18 hadi 16, ili kuwawezesha wananchi wengi kumiliki nyumba. Akizungumza na...
5 years ago
MichuziBENKI YA EQUITY KUTOA MIKOPO YA MAJI KWA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI
11 years ago
Habarileo09 Mar
‘Msitoze riba mikopo ya matrekta’
SERIKALI imeziagiza kampuni zinazokopesha vifaa vya kilimo yakiwemo matrekta madogo (power tiller) na makubwa kwa wakulima, kuacha mara moja kutoza riba kwa mikopo kwa vile vifaa hivyo vimefutiwa kodi. Katika hatua nyingine, serikali nayo imeombwa kuondoa ushuru wa kodi kwa matela ya matrekta, hususani ya power tiller ili kuwapunguzia gharama za ununuzi wakulima hatua itakayoharakisha mipango ya kuingia kwenye kilimo cha kisasa.
5 years ago
BBCSwahili18 Jun
Xi Jinping: China kufuta mikopo isiokuwa na riba kwa mataifa ya Afrika
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Benki ya NMB yazindua mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa mikopo, wateja sasa kupata mikopo ndani ya siku 4
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc Ineke Bussemaker akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa za mikopo uliozinduliwa na Benki hiyo. Mfumo huo utatutumika kwenye kanzi data ya Mikopo ya Benki hiyo ( CRB’s) kwa lengo la kuwawezesha wateja wakubwa na wadogo wa wanaoomba mikopo kuipata ndani ya siku 1 hadi 4 .
Afisa Mkuu Udhibiti wa Hasara wa Benki ya NMB Bw. Tom Borghols (wa pili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari (hawapo...
11 years ago
Habarileo22 May
Makinda- Benki zipunguze riba
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amesema ili sekta ya benki itoe mchango wake kikamilifu katika kukuza uchumi wa Taifa, ni muhimu kwa benki hizo kurahisisha masharti ya mikopo pamoja na kupunguza viwango vya riba ambavyo kwa sasa viko juu mno.
11 years ago
Mwananchi04 Jul
Prof Tibaijuka alia na riba kubwa za benki
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Dola yapandisha kiwango cha riba benki
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-l7QQDHEJEPc/XtUtLb1znBI/AAAAAAALsPE/KadnRm2RTNIBKc8_L_TC57llidvO1qXeACLcBGAsYHQ/s72-c/OTMI0141.jpg)
Wafanyakazi sasa kujiachia na riba hadi asilimia 14 kutoka Benki ya CRDB
![](https://1.bp.blogspot.com/-l7QQDHEJEPc/XtUtLb1znBI/AAAAAAALsPE/KadnRm2RTNIBKc8_L_TC57llidvO1qXeACLcBGAsYHQ/s640/OTMI0141.jpg)
===== ===== =====
Benki ya CRDB imezindua kampeni maalumu...