Makinda- Benki zipunguze riba
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amesema ili sekta ya benki itoe mchango wake kikamilifu katika kukuza uchumi wa Taifa, ni muhimu kwa benki hizo kurahisisha masharti ya mikopo pamoja na kupunguza viwango vya riba ambavyo kwa sasa viko juu mno.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Benki yapunguza riba mikopo ya nyumba
BENKI ya Afrika Tanzania imetoa ofa ya miezi sita ya punguzo la riba ya mkopo wa nyumba kutoka asilimia 18 hadi 16, ili kuwawezesha wananchi wengi kumiliki nyumba. Akizungumza na...
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Wananchi wafurahia riba za mikopo benki kupunguzwa
NA RACHEL KYALA
WANANCHI mbalimbali jijini Dar es Salaam wametoa maoni yao kuhusu bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015, iliyosomwa bungeni mjini Dodoma jana na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya.
Wakizungumza na Uhuru kwa nyakati tofauti mjini Dar es Salaam jana, wananchi hao wameeleza kufurahishwa na bajeti hiyo, hususan katika masuala ya benki kutakiwa kupunguza riba na kufutwa kwa ushuru katika uhaulishaji wa pesa.
Baadhi ya wananchi wamesema wamefurahishwa na uamuzi wa serikali...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Dola yapandisha kiwango cha riba benki
11 years ago
Mwananchi04 Jul
Prof Tibaijuka alia na riba kubwa za benki
5 years ago
Michuzi
Wafanyakazi sasa kujiachia na riba hadi asilimia 14 kutoka Benki ya CRDB

===== ===== =====
Benki ya CRDB imezindua kampeni maalumu...
11 years ago
Habarileo09 Mar
‘Msitoze riba mikopo ya matrekta’
SERIKALI imeziagiza kampuni zinazokopesha vifaa vya kilimo yakiwemo matrekta madogo (power tiller) na makubwa kwa wakulima, kuacha mara moja kutoza riba kwa mikopo kwa vile vifaa hivyo vimefutiwa kodi. Katika hatua nyingine, serikali nayo imeombwa kuondoa ushuru wa kodi kwa matela ya matrekta, hususani ya power tiller ili kuwapunguzia gharama za ununuzi wakulima hatua itakayoharakisha mipango ya kuingia kwenye kilimo cha kisasa.
11 years ago
Michuzi.jpg)
Taasisi za kifedha zashauri kupunguza riba
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Na Kibada Kibada Rukwa.
Waziri wa Uwekezaji na uwezeshaji Dkt Mary Nagu ...
9 years ago
Habarileo29 Dec
Waziri Mpango kukabili riba kubwa
BAADA ya kushughulikia wakwepa kodi ndani ya siku 27 alizokaa Mamlaka ya Mapato (TRA), Waziri mpya wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amehamishia nguvu zake katika sekta ya fedha hasa benki, akizitaka zipunguze riba.
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Marekani yapandisha riba baada ya miaka 7