Marekani yapandisha riba baada ya miaka 7
Benki Kuu ya Marekani imepandisha kiwango kikuu cha riba kwa alama ya robo ya asilimia tangu mtikisiko wa uchumi nchini humo mwaka 2008.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Dola yapandisha kiwango cha riba benki
Dar es Salaam. Naibu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki M, Jacqueline Woiso amesema mfumuko wa bei, kuporomoka kwa shilingi na kupanda kwa thamani ya Dola kumechangia kwa kiasi kikubwa kupandisha riba katika benki mbalimbali nchini.
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Madada wa Cambodia wenye miaka 98 na 101, wakutana tena baada ya miaka 47
Madada hao walionana kwa mara ya mwisho mwaka 1973 na kila mmoja alidhani mwenzake alikufa chini ya utawala wa Khmer Rouge.
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Mvua yapandisha umeme
UKOSEFU wa mvua umetajwa kuwa ni sababu inayochangia kupanda kwa gharama za umeme nchini. Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura-CCC), Profesa Jamidu...
9 years ago
Mwananchi15 Nov
CCM yapandisha joto la uspika
Wakati Kamati Kuu ya CCM ikikutana leo jijini Dar es Salaam kupitisha majina matatu kati ya 23 ya wanaowania uspika, joto la kuwania nafasi hiyo linazidi kupanda .
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tanesco yapandisha bei ya umeme
>Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za umeme ambazo zimepanda kwa kuzingatia makundi tofauti.
9 years ago
Mwananchi06 Dec
Dawasco yapandisha bei ya maji
Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco), limeanza rasmi kutumia bei mpya za ankara za maji, ikiwa ni siku chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura) kupitisha mapendekezo ya kupandisha bei kama walivyoomba.
11 years ago
Mwananchi30 Jul
Ajinyonga baada ya kuaga anakwenda Marekani
>Mkazi wa Kisukuru jijini Dar es Salaam, Irene Ibrahim anadaiwa kujinyonga hadi kufa, ikiwa saa chache kupita tangu aage kuwa anasafiri kwenda Marekani.
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
176 wapotea baada ya maporomoko Marekani
Maafisa wa utawala katika jimbo la Washington nchini Marekani, wamepata miili sita zaidi baada ya ukuta wa matope kuporomoka Jumamosi, 176 hawajulikani waliko
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Ashuka jukwaani baada ya miaka 53
Shujaa wa muziki wa dansi nchini Muhidin Maalimu Gurumo ameliaga rasmi jukwaa la muziki huo kwa kufanyiwa tamasha maalumu la kumuaga, baada ya kudumu kwa takriban miaka 53 akiimba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania