Mvua yapandisha umeme
UKOSEFU wa mvua umetajwa kuwa ni sababu inayochangia kupanda kwa gharama za umeme nchini. Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura-CCC), Profesa Jamidu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tanesco yapandisha bei ya umeme
>Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za umeme ambazo zimepanda kwa kuzingatia makundi tofauti.
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Mvua yaangusha nguzo 35 za umeme
MVUA iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo ikiambatana na kimbunga, imeangusha nguzo 35 za Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kusababisha ukosefu wa umeme kwa wilaya za Handeni na Kilindi, mkoani...
10 years ago
Michuzi
Vodacom Foundation yakabidhi msaada wa Umeme Jua kwa wahanga wa mvua Kahama



10 years ago
GPL
VODACOM FOUNDATION YAKABIDHI MSAADA WA UMEME JUA KWA WAHANGA WA MVUA KAHAMA
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Ally Nassoro Rufunga (kulia) akipokea msaada wa Umeme Jua â€Solar Powerâ€kwa niaba ya wahanga wa maafa ya mvua uliotolewa na Vodacom Foundation kutoka kwa Mkuu wa Vodacom kanda ya Tanganyika,George Venanty. Mkuu wa Vodacom Tanzania,Kanda ya Tanganyika George Venanty(kushoto) na…
9 years ago
Mwananchi15 Nov
CCM yapandisha joto la uspika
Wakati Kamati Kuu ya CCM ikikutana leo jijini Dar es Salaam kupitisha majina matatu kati ya 23 ya wanaowania uspika, joto la kuwania nafasi hiyo linazidi kupanda .
9 years ago
Mwananchi06 Dec
Dawasco yapandisha bei ya maji
Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco), limeanza rasmi kutumia bei mpya za ankara za maji, ikiwa ni siku chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura) kupitisha mapendekezo ya kupandisha bei kama walivyoomba.
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Marekani yapandisha riba baada ya miaka 7
Benki Kuu ya Marekani imepandisha kiwango kikuu cha riba kwa alama ya robo ya asilimia tangu mtikisiko wa uchumi nchini humo mwaka 2008.
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Dola yapandisha kiwango cha riba benki
Dar es Salaam. Naibu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki M, Jacqueline Woiso amesema mfumuko wa bei, kuporomoka kwa shilingi na kupanda kwa thamani ya Dola kumechangia kwa kiasi kikubwa kupandisha riba katika benki mbalimbali nchini.
9 years ago
Michuzi
Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali
Jeshi la polisi mkoani Tabora limetoa agizo kuwachukuliwa hatua polisi wanaojihusisha na uharifu na wanaotoa siri za jeshi hilo: https://youtu.be/ke0jqZIOm3o
Waumi ni wa pentekoste mkoani Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...
Waumi ni wa pentekoste mkoani Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania