Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


176 wapotea baada ya maporomoko Marekani

Maafisa wa utawala katika jimbo la Washington nchini Marekani, wamepata miili sita zaidi baada ya ukuta wa matope kuporomoka Jumamosi, 176 hawajulikani waliko

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

85 watoweka baada ya maporomoko China

Zaidi ya wakoaji 1000 wanatafuta manusura 85 kusini mwa China siku moja baada ya maporomoko ya ardhi kuangusha nyumba 33 katika mji wa Shenzhen .

 

11 years ago

GPL

IDADI YA WATU WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA MAPOROMOKO MAREKANI YAFIKIA 14

Waokoaji wakitafuta watu waliopotea katika maporomoko. MAOFISA wa utawala katika jimbo la Washington nchini Marekani, wamepata miili sita zaidi baada ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea siku ya Jumamosi. Hii imefikisha idadi ya watu waliofariki kutokana na maporomoko hayo hadi 14. Watu 176 bado hawajapatikana baada ya ukuta wa matope wenye urefu wa futi 177 kuporomoka karibu na mji wa Oso, Kaskazini mwa Seattle. Zoezi la uokoaji...

 

9 years ago

Mtanzania

CCM: Tumeshinda majimbo 176

january-makambaVERONICA ROMWALD NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimejitangazia ushindi wa majimbo 176 kati ya 264 nchini ambayo yamejumlishwa katika matokeo yaliyobandikwa katika vituo mbalimbali.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM Januari Makamba, alisema chama hicho kimefanikiwa kukomboa majimbo 12 yaliyokuwa yakishikiliwa na vyama vya upinzani.

“Kwa kuwa matokeo yamebandikwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumo wa maendeleo Moro watengewa mil. 176/-

MEYA wa Manispaa ya Morogoro, Amiri Nondo, amesema kutokana na tatizo la maji katika manispaa hiyo hasa kata za pembezoni, sh milioni 716 zimetengwa kwa ajili ya  Mfuko wa Maendeleo...

 

10 years ago

BBCSwahili

wanachuo 58 wapotea Mexico

Polisi wa kusini mwa Mexico wanawasaka wanafunzi 58 ambao hawajulikani waliko tangu yalipotokea mapigano baina ya polisi .

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi 40 Mexico wapotea

Wanafunzi Mexico katika jimbo la Guerrero wameandamana katika mji mkuu wa jimbo la Chilpancingo kulalamikia kutoweka kwa wanafunzi wenzao.

 

9 years ago

Habarileo

Mahujaji 50 kutoka Tanzania wapotea

WAKATI Waislamu kote duniani wakiwa katika simanzi kuu kutokana na vifo vya mahujaji zaidi ya 700 katika mji mtakatifu wa Makka, Saudia Arabia, imethibitika kuwa zaidi ya mahujaji 50 wa Tanzania, hawajulikani walipo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Muziki wa Taarab wapotea Burundi

Utamaduni wa muziki wa mwambao -taarab-, ambao ulikuwa ukichanua nchini Burundi umetoweka kwa zaidi ya miaka 20 sasa.

 

9 years ago

Mwananchi

Ndege ya JWTZ yaanguka, marubani wapotea

Askari wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wamepotea katika Bahari ya Hindi baada ya ndege waliyokuwa wakiitumia kwa mafunzo kuanguka jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani