Ajinyonga baada ya kuaga anakwenda Marekani
>Mkazi wa Kisukuru jijini Dar es Salaam, Irene Ibrahim anadaiwa kujinyonga hadi kufa, ikiwa saa chache kupita tangu aage kuwa anasafiri kwenda Marekani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo30 Apr
Ajinyonga baada ya kumkumbuka mkewe
MKAZI wa Mtoni Kijichi, Richard Kijazi (36) amekutwa amekufa kwa kujinyonga chooni na kuacha ujumbe kwamba amejiua kwa sababu ya kumkumbuka marehemu mkewe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert Kiondo, alisema jana kuwa Kijazi alijiua juzi saa 11:15 jioni katika maeneo ya Mtoni Kijichi, Wilaya ya Temeke.
11 years ago
Habarileo30 Jul
Ajinyonga baada ya kuachwa na mkewe
MKAZI wa Kijiji cha Vikonge, Kata ya Mpandandogo wilayani Mpanda, Joseph Lukato (52) amejinyonga kwa kujitundika mtini akitumia mtandio wa mkewe baada ya kughadhabika na kuachwa naye.
11 years ago
BBCSwahili22 May
Waziri ajinyonga baada ya kushindwa Malawi
11 years ago
Habarileo31 May
Ajinyonga baada ya kudaiwa fedha ya matumizi na mkewe
WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti, akiwemo mkazi wa kijiji cha Kasitu wilayani Kalambo mkoa wa Rukwa, Nestory Kamchape (48) amejiua kwa kujinyonga baada ya kudaiwa fedha za matumizi na mkewe.
10 years ago
Mtanzania09 May
Mtoto wa miaka 13 ajinyonga baada kukutwa na barua ya mapenzi
NA TWALAD SALUM, MISUNGWI
MWANAFUNZI wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Mwagiligili, iliyopo Misungwi, mkoani Mwanza, Rahel Emmanuel (13), amekutwa amekufa baada ya kujinyonga ndani ya nyumba ya Mwalimu wake Mkuu, John Msusa.
Akizungumzia tukio hilo, Mwalimu Msusa alisema tukio hilo lilitokea juzi, saa sita mchana.
Alisema kabla ya kifo hicho, mwanafunzi huyo ambaye ni mtoto wa shemeji yake, aliyeanza kuishi naye tangu akiwa mdogo alikutwa na karatasi katika madaftari yake iliyokuwa na...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Mume ajinyonga baada ya kumuua mkewe kwa panga
9 years ago
Mwananchi12 Sep
Ajinyonga kwa katani baada ya kunyang’anywa mke
9 years ago
StarTV25 Nov
Kijana wa Kagondo Bukoba ajinyonga baada ya kutoka hospitalini
Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Nelson Laurent mwenye umri wa miaka 34 mkazi wa kata ya Kagondo Manispaaa ya Bukoba mkoani Kagera amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwa kutumia kamba ndani ya nyumba yake.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, kijana huyo ambaye alichukua maamuzi hayo leo majira ya asubuhi mara baada ya kupata chai pamoja na ndugu zake nyumbani kwa baba yake mzazi aliaga kuwa anaenda kubadilisha nguo ili akachukue dawa kwa bibi yake.
vilio na simanzi vilitawala...