Kijana wa Kagondo Bukoba ajinyonga baada ya kutoka hospitalini
Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Nelson Laurent mwenye umri wa miaka 34 mkazi wa kata ya Kagondo Manispaaa ya Bukoba mkoani Kagera amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwa kutumia kamba ndani ya nyumba yake.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, kijana huyo ambaye alichukua maamuzi hayo leo majira ya asubuhi mara baada ya kupata chai pamoja na ndugu zake nyumbani kwa baba yake mzazi aliaga kuwa anaenda kubadilisha nguo ili akachukue dawa kwa bibi yake.
vilio na simanzi vilitawala...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Mwanafunzi ajinyonga hospitalini
11 years ago
Habarileo06 Aug
Kijana ajinyonga kwenye mti
WATU watatu wamekufa katika matukio matatu tofauti jijini hapa akiwamo mkazi wa Handeni, Tanga, Athanas Dominic (40) aliyekutwa amejinyonga kwenye mti.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pNZpvu9j9sU/XvNT3Su5TVI/AAAAAAALvRI/dMnO9zpbKmEm76lEcrLAJ94LFvjTBtSUgCLcBGAsYHQ/s72-c/SHUKA.png)
Njombe:Kijana ajinyonga kwa kutumia shuka ndani ya Nyumba
Kijana anayefahamika kwa jina la Chesco Mtega mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa kitongoji cha Kanisa A Kijiji cha Ludewa,wilayani Ludewa mkoani Njombe amegundulika amejinyonga kwa kutumia shuka lililofungwa juu ya kenchi na shingoni mwake ndani ya nyumba,huku sababu zikitajwa ni kutokana na msongo wa mawazo (SONONA)
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mkuu wa Wilaya ya Ludewa ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo Mh,...
11 years ago
Habarileo30 Apr
Ajinyonga baada ya kumkumbuka mkewe
MKAZI wa Mtoni Kijichi, Richard Kijazi (36) amekutwa amekufa kwa kujinyonga chooni na kuacha ujumbe kwamba amejiua kwa sababu ya kumkumbuka marehemu mkewe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert Kiondo, alisema jana kuwa Kijazi alijiua juzi saa 11:15 jioni katika maeneo ya Mtoni Kijichi, Wilaya ya Temeke.
11 years ago
Habarileo30 Jul
Ajinyonga baada ya kuachwa na mkewe
MKAZI wa Kijiji cha Vikonge, Kata ya Mpandandogo wilayani Mpanda, Joseph Lukato (52) amejinyonga kwa kujitundika mtini akitumia mtandio wa mkewe baada ya kughadhabika na kuachwa naye.
11 years ago
Mwananchi30 Jul
Ajinyonga baada ya kuaga anakwenda Marekani
11 years ago
BBCSwahili22 May
Waziri ajinyonga baada ya kushindwa Malawi
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
Alazwa hospitalini baada ya kumkana Mungu