Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alazwa hospitalini baada ya kumkana Mungu

Mwanamume mmoja nchini Nigeria, amepelekwa katika kituo cha matibabu ya kiakili baada ya kusema kuwa hamwamini Mungu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mpenzi wa Hollande alazwa hospitalini

Mpenzi wa Rais wa Ufaransa amelazwa hospitalini baada ya vyombo vya habari kudai Rais huyo ana mchumba wa kando.

 

10 years ago

BBCSwahili

Desmond Tutu alazwa hospitalini

Askofu mstaafu Desmond Tutu amelazwa katika hospitali moja mjini Cape Town Afrika Kusini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mohammed Ali alazwa hospitalini

Aliyekuwa bingwa wa ndondi ulimwenguni Mohammed Ali amelazwa hospitalini baada ya kuugua maambukizi ya mapafu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenneth Kaunda alazwa hospitalini

Aliyekuwa rais wa Zambia Kenneth Kaunda amelazwa hospitalini mjini Lusaka.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Algeria alazwa hospitalini

Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika amelazwa katika hospitali moja nchini Ufaransa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pele alazwa hospitalini Sao Paulo

Aliyekuwa mchezaji nyota wa timu ya Brazil Pele amefanyiwa matibabu hospitalini miezi miwili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume.

 

10 years ago

BBCSwahili

Meya mwenye utata alazwa hospitalini

Meya wa Toronto, anaekumbwa na utata Rob Ford, amelazwa hospitalini baada ya kupataikana na uvimbe tumboni mwake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais Jacob Zuma alazwa hospitalini

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amelazwa hospitalini kwa uchunguzi wa kiafya.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanamitindo Millen Magese Alazwa Tena Hospitalini, Atoa Ujumbe Mzito Akiwa Katika Maumivu Makali

Mwanamitindo Maarufu Millen Magese Amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa kitandani kwa mara nyingine tena akipata matibabu kuhusu ugonjwa unaomsumbua na kuandika ujumbe huu wa kusikitisha:"
I didn't want to Post any pic this time because Iam exhausted ....but posting this pic today is just to insist ...Endometriosis is real. I truly don't wish to see any young girl/woman go through this pain . It's not just your period pain , it's more than that. May this remind women from all over...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani