BoT yatakiwa kupunguza riba kwa mabenki
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Said Amanzi ameomba menejimenti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kuangalia uwezekano wa kupunguza riba kwa benki za kawaida, zinazotoa mikopo kwa wajasiriamali na wananchi wa kawaida.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziBOT YATOA KANUNI MPYA ZA KUWALINDA WAKOPAJI KATIKA MABENKI
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Arusha katika semina inayotolewa na Benki kuu ya Tanzania kwa Waandishi wa Habari za Uchumi na Fedha,Meneja Msaidizi Dawati la Kutatua Migogoro Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Ganga Mlipano amesema kuwa kanuni hizo zimetolewa...
10 years ago
MichuziTaasisi za kifedha zashauri kupunguza riba
Na Kibada Kibada Rukwa.
Waziri wa Uwekezaji na uwezeshaji Dkt Mary Nagu ...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Waziri Mkuya aitaka NMB kupunguza riba
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya, ameuomba uongozi wa Benki ya NMB kuangalia jinsi ya kuwainua watanzania kwa kupunguza viwango vya riba. Mkuya aliyasema hayo mwishoni mwa wiki katika...
11 years ago
Habarileo01 May
Jamii yatakiwa kupunguza dawa za kulevya
JAMII imetakiwa kupambana na kupunguza matumizi ya dawa za kulevya, ambazo zimekuwa zikiathiri nguvu kazi kwa vijana.
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
Jamii yatakiwa kushiriki kupunguza ajali za barabarani
Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua semina hiyo Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi.
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi (kulia), akizungumza katika semina hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed kufungua semina hiyo.
Ofisa Mradi wa Usalama Barabarani wa Shirika la...
10 years ago
Mtanzania04 Feb
Serikali yatakiwa na mpango kupunguza foleni Dar
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
SERIKALI imeshauriwa kuwa na mpango wa miaka 50 hadi 100 utakaosaidia kutatua msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.
Ushauri huo, umetolewa bungeni jana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli za kamati hiyo katika kipindi cha kuanzia Januari 2014 hadi Januari 2015.
Akisoma taarifa hiyo, mjumbe wa kamati hiyo, Athuman Mfutakamba, alisema usanifu huo unatakiwa kuangalia ongezeko...
9 years ago
StarTV19 Sep
EWURA yatakiwa kukaa na wadau wa umeme kupunguza garama
Siku Moja baada ya Tanzania kuanza kutumia umeme wa nishati ya gesi kutoka Mtwara Serikali imeziagiza Mamlaka ya Mdhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) na wadau wa uzalishaji wa nishati hiyo kukaa na kufanya tathmini ili kufikia muafaka wa kupunguza gharama zake kwa watanzania.
Hatua hiyo inatokana na unafuu wa uzalishaji wa umeme kwa nishati ya gesi ukilinganisha na maji ambapo vyanzo vyake vilishindwa kumudu na kusababisha gharama za umeme kupanda kutokana na uwezo wa uzalishaji kushuka...
5 years ago
MichuziKUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana.
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Saccos yapunguza riba kwa wanachama wake