Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malkia wa Uholanzi aitaka Serikali kusaidia wakulima

Malkia Maxima wa UholanziMALKIA Maxima wa Uholanzi, ameitaka Serikali kuelekeza juhudi zaidi katika kusaidia wakulima na kuwatafutia masoko ya mazao wanayozalisha ili waweze kuinua hali zao za maisha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Keissy aitaka Serikali kulipa riba kwa wakulima

ally kessyNa Debora Sanja, Dodoma

MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Ali Keissy (CCM), ameitaka Serikali kuwalipa wakulima fedha zao pamoja na riba kutokana na kuwacheleweshea malipo yao kwa muda mrefu.
Akiuliza swali bungeni jana, Keissy alisema Serikali imekuwa ikilipa riba mbalimbali kutokana na kuchelewa kulipa madeni ya wazabuni na kutaka wakulima walioiuzia Serikali mahindi yao walipwe riba.
“Serikali inasema nini kuhusu kuwalipa wakulima hao fedha zao pamoja na riba kwa kuwa toka mwaka jana hadi sasa...

 

11 years ago

Mwananchi

Malkia Maxima wa Uholanzi awasili nchini

Malkia wa Uholanzi, Maxima amewasili nchini jana.Malkia Maxima leo anatarajiwa kuzindua Mpango wa Taifa wa Huduma za Fedha wenye lengo la kuangalia na kutafuta ufumbuzi juu za changamoto zinazozorotesha huduma za fedha.

 

11 years ago

GPL

MALKIA MAXIMA WA UHOLANZI APIGIA CHAPUO UMUHIMU WA UJUMUISHI WA KIFEDHA KWA MAENDELEO

Malkia Maxima wa Uholanzi akiongoza majadiliano kuhusu mchakato wa Ujumuishi wa Kifedha,  mchango  unaoongozwa na wenye-viti wenza watatu ambao  ni wawakilishi wa kudumu wa Tanzania, Peru na  Indonesia. Malkia Maxima ambaye ni  Mjumbe  Maalum wa Katibu Mkuu  aliongoza majadiliano hayo kwa  mwaliko  wa  wenyeviti wenza hao watatu.
Malkia Maxima wa Uholanzi  akiwa katika picha ya pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

MALKIA MAXIMA WA UHOLANZI APIGIA CHAPUO UMUHIMU WA UJUMUISHI WA KIFEDHA KWA MAENDELEO

Na Mwandishi Maalum, New York   Malkia Maxima wa Uholanzi jana ( June 17) aliongoza majadiliano ya mkakati juu ya ujumuishi wa kifedha (Inclusive Financing)  kama mojawapo ya misingi ya agenda ya Maendeleo baada ya 2015.  Malkia Maxima alishiriki katika majadiliaho hayo yaliyoitishwa na Wakilishi za Kudumu za Tanzania, Peru na Indonesia katika Umoja wa Mataifa.  Nchi hizi tatu zinaongoza mchakato wa kusukuma mbele agenda hiyo ya ujumuishi wa kifedha katika Umoja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SEMA yatumia mil. 25/- kusaidia wakulima

SHIRIKA la Mpango  Endelevu wa Uboreshaji Mazingira (SEMA), limetumia zaidi ya sh milioni 25 kununua vifaa vyenye ujumbe utakaowasaidia wakulima kubadilika ili kuendana na mabadiliko ya tabia nchi. Hayo yamesemwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana aahidi kusaidia wakulima Mponde

>Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameahidi kulitafutia ufumbuzi tatizo la wakulima wa chai katika Jimbo la Bumbuli ndani ya mwezi mmoja ujao.

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAINGIA UBIA NA TAASISI ZA KIMATAIFA KUSAIDIA WAKULIMA NCHINI

Taasisi ya Connected Farmer Alliance (CFA) ya ubia kati ya watu binafsi na makampuni inayohusisha Vodafone,Shirika la Maendeleo la Marekani (USAID)  na Shirika lisilo la kibiashara la TechnoServe leo yamesainiana  makubaliano ya kwanza ya kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu kuongeza uzalishaji kwa maelfu ya wakulima wadogo wa vipato vya chini nchini Tanzania. Kwa mujibu wa makubaliano kati ya CFA, Olam International...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom yaingia ubia na taasisi za kimataifa kusaidia wakulima 30,000 nchini

Taasisi ya Connected Farmer Alliance (CFA) ya ubia kati ya watu binafsi na makampuni inayohusisha Vodafone,Shirika la Maendeleo la Marekani (USAID) na Shirika lisilo la kibiashara la TechnoServe leo yamesainiana makubaliano ya kwanza ya kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu kuongeza uzalishaji kwa maelfu ya wakulima wadogo wa vipato vya chini nchini Tanzania.Kwa mujibu wa makubaliano kati ya CFA, Olam International inayojishughulisha na masuala ya elimu kwa wakulima na ununuzi wa mazao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maige aitaka serikali kumdai ABG

MBUNGE wa Msalala, Ezekiel Maige (CCM), ameitaka serikali kuzungumza na mwekezaji wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu ili ilipe Halmashauri ya Wilaya ya Kahama deni la dola milioni nane za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani