MALKIA MAXIMA WA UHOLANZI APIGIA CHAPUO UMUHIMU WA UJUMUISHI WA KIFEDHA KWA MAENDELEO
![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZCnxE0W-S3cie9LzNLVnXDVx1ezLKT2tA3fmYJG-SqnOJxVMIyFqUgg5icMQMPIz5*AMO2OXQIppKAkzo4j7T9dS/MALKIA1.jpg?width=650)
Malkia Maxima wa Uholanzi akiongoza majadiliano kuhusu mchakato wa Ujumuishi wa Kifedha, mchango unaoongozwa na wenye-viti wenza watatu ambao ni wawakilishi wa kudumu wa Tanzania, Peru na Indonesia. Malkia Maxima ambaye ni Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu aliongoza majadiliano hayo kwa mwaliko wa wenyeviti wenza hao watatu. Malkia Maxima wa Uholanzi akiwa katika picha ya pamoja na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-AX87MJosDz4/U6El36hCbjI/AAAAAAAFrZI/8ImiO3bPwe4/s72-c/unnamed+(3).jpg)
MALKIA MAXIMA WA UHOLANZI APIGIA CHAPUO UMUHIMU WA UJUMUISHI WA KIFEDHA KWA MAENDELEO
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Malkia Maxima wa Uholanzi awasili nchini
11 years ago
Mwananchi31 Jul
Barack Obama apigia chapuo vijana kuongoza Afrika
11 years ago
Habarileo15 Dec
Malkia wa Uholanzi aitaka Serikali kusaidia wakulima
MALKIA Maxima wa Uholanzi, ameitaka Serikali kuelekeza juhudi zaidi katika kusaidia wakulima na kuwatafutia masoko ya mazao wanayozalisha ili waweze kuinua hali zao za maisha.
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Umuhimu sayansi na teknolojia kwa maendeleo ya nchi
VIJANA nchini hawana budi kupenda kujifunza masomo ya sayansi na teknolojia, ili waweze kupata ujuzi na mitazamo katika sekta ya gesi ambayo inakuwa kwa kasi kubwa nchini na duniani kwa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Aspp9PU-Cw8/U4BgfmpHJUI/AAAAAAAFkuY/0iPL1Li8y28/s72-c/2.jpg)
DKT. BILAL AWAELEZA WASOMI JAPAN UMUHIMU WA VITEGA UCHUMI KWA MAENDELEO YA AFRIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Aspp9PU-Cw8/U4BgfmpHJUI/AAAAAAAFkuY/0iPL1Li8y28/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-iUDoNIWnNxs/U4BgfqMprII/AAAAAAAFkuk/A353-zdo5Zc/s1600/3..jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-paaJO536NhQ/U4Bgf0JCGFI/AAAAAAAFkuc/32kqm8jiF0Q/s1600/4..jpg)
11 years ago
Dewji Blog25 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal awaeleza wasomi Japan umuhimu wa vitega uchumi kwa maendeleo ya Afrika
Na Mwandishi Maalum, Tokyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal amesema nchi zinazoendelea hususan za Kiafrika bado zinahitaji uwekezaji zaidi vitega uchumi kutoka nje (FDIs) ili kupata...
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
#UNTZ: UNCDF kuendelea kusaidia kujenga uwezo wa kifedha kuhudumia maendeleo
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu kataka Wizara hiyo Dkt. Deogratius Mtasiwa, akizungumza kwenye mkutano wa watendaji waandamizi wa serikali kutoka katika Ofisi ya WaziriMkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) pamoja na waandishi wa habari kuhusiana na Programu ya Utafutaji Fedha Nchini kwa maendeleo ya wananchi (Global Local Finance Initiative (LFI) ambayo ilianza katika awamu ya...
11 years ago
Bongo513 Jul
Uholanzi yailaza Brazil 3-0,Uholanzi yashika nafasi ya 3 kombe la dunia