Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


#UNTZ: UNCDF kuendelea kusaidia kujenga uwezo wa kifedha kuhudumia maendeleo

DSC_0053

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu kataka Wizara hiyo Dkt. Deogratius Mtasiwa, akizungumza kwenye mkutano wa watendaji waandamizi wa serikali kutoka katika Ofisi ya WaziriMkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) pamoja na waandishi wa habari kuhusiana na Programu ya Utafutaji Fedha Nchini kwa maendeleo ya wananchi (Global Local Finance Initiative (LFI) ambayo ilianza katika awamu ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

UNCDF yatoa bilioni 2.4/- kusaidia miradi 6 ya miundombinu

Mkurugenzi wa Mfuko wa Mtaji wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa, (UNCDF) nchini Tanzania, Peter Malika akizungumza na wageni waalikwa wakati wa makabidhiano ya misaada kwa miradi ya maendeleo iliyodhaminiwa na UNCDF Tanzania.

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi, Kagyabukama E.Kiliba akisoma hotuba yake wakati wa kukabidhi hundi kwa mashirika binafsi na ya umma kwa ajili ya kuendeleza miradi ya maendeleo.

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi, Kagyabukama E.Kiliba (katikati) akimkabidhi hundi bilioni moja...

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA KATIKA HOTEL YA GOLD CREST JIJINI MWANZA KWA AJILI KUHAMASISHA NA KUJENGA UWEZO WA KUJUMUISHA MASUALA YA VIJANA KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA NA WILAYA

Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) Tanzania, wameandaa warsha ya kuhamasisha na kujenga uwezo kwa watumishi wa Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhusu kujumuisha masuala ya vijana katika mipango ya Mkoa na wilaya.
Warsha hiyo inafanyika katika vituo vya Mwanza na Musoma. Katika kituo cha Mwanza warsha inafanyika tarehe 8 na 9 Juni 2015, kituo ambacho kinajumuisha Sekretarieti ya Mkoa na Halmashauri za mikoa ya Mwanza,...

 

11 years ago

Michuzi

BANDARI MTWARA YAJIDHATITI KUONGEZA UWEZO WA KUHUDUMIA MIZIGO

 Meneja wa Bandari ya Mtwara, Bw. Absalom Bohella (Kuliai) akizungumza na Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilimpotembelea Ofisini kwake kukagua kukagua mirdai ya maendeleo Bandari hapo. Kutoka kushoto ni viongozi wa Timu hiyo, Prof. Longinus Rutasitara (Wakwanza Kushoto) na Bibi Florence Mwanri (Katikati).  Afisa Miradi Mwandamizi wa Bandari ya Mtwara, Bw. Norbert Kalebwe (Kushoto) akitoa maelezo ya uendelezaji wa maeneo ya Bandari hiyo kwa Timu...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MADINI ALITAKA SHIRIKA LA MAENDELEO LA TAIFA (NDC) KUVITAMBUA VIPAJI NA UWEZO WAANZILISHI WA VIWANDA ILI KUWAJENGEA UWEZO

Waziri wa Madini Dotto Biteko amelitaka shirika la maendeleo la taifa (NDC)kujipa muda wa kuvitambua vipaji na uwezo walionao waanzilishi mbalimbali wa viwanda na kuona wanawasaidiaje katika kukuza uwezo wao badala ya kukimbilia kuulizia vibali au leseni ya shughuli zao.

Biteko ameyasema hayo alipotembelea kiwanda kidogo cha kulainisha chuma kilichopo katika kata ya Lubonde wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kinachomilikiwa na Bw. Reuben Mtitu (Mzee Kisangani) na kuona uwezo wake katika...

 

11 years ago

Mwananchi

SMZ haina uwezo kifedha-Nahodha

>Waziri Kiongozi mstaafu Shamsi Vuai Nahodha amesema mfumo wa Muungano wa Serikali tatu unaweza kutetemesha misingi yake na kusababisha kuvunjika, kwa vile Zanzibar haina uwezo wa kirasilimali kuchangia uendeshaji wake.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA UN WA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE NA WASICHANA KIFEDHA

IMG_2587Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Kim Simplis Barrow, Mke wa Waziri Mkuu wa Belize na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Wanawake na Watoto. Mama Barrow kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa ndio walioandaa mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi kuzungumzia masuala ya kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha.na “First Ladies Global Call to Action Conference on Women and Girls’ Financial Health.” Tarehe 25 Septemba,2014.IMG_2605Mke wa Rais na...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, mchana wa leo ametiliana saini makubaliano ya mkataba wa kuanzisha Mradi wa Maji katika Wilaya ya Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro..  Dr. Likwelile alisaini Mkataba huo kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya uchumi ya Afrika. Aliye wakilisha Benki hiyo ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Mzumbe kujenga uwezo wa wajasiriamali Dar

13Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam

CHUO Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, kinatarajia kuanza kuwajengea uwezo wajasiriamali wa viwanda vidogo ili kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuiendeleza sekta hiyo na kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo.

Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Kaimu Makamu wa Chuo hicho, Profesa Josephat Itika, wakati wa mahafali ya 14  ambapo alisema kwa sasa kampasi hiyo inaandaa miradi mbalimbali ya ushauri na kozi fupi kwa kushirikiana na chuo cha...

 

9 years ago

Habarileo

Bodi ya Maktaba yaja na mradi wa kujenga uwezo

BODI ya Huduma za Maktaba (TLSB) imeanzisha mradi wa maktaba kwa maendeleo wenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 630 ili kuzijengea uwezo kwa kuzifikia kada mbalimbali kwenye jamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani