Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BANDARI MTWARA YAJIDHATITI KUONGEZA UWEZO WA KUHUDUMIA MIZIGO

 Meneja wa Bandari ya Mtwara, Bw. Absalom Bohella (Kuliai) akizungumza na Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilimpotembelea Ofisini kwake kukagua kukagua mirdai ya maendeleo Bandari hapo. Kutoka kushoto ni viongozi wa Timu hiyo, Prof. Longinus Rutasitara (Wakwanza Kushoto) na Bibi Florence Mwanri (Katikati).  Afisa Miradi Mwandamizi wa Bandari ya Mtwara, Bw. Norbert Kalebwe (Kushoto) akitoa maelezo ya uendelezaji wa maeneo ya Bandari hiyo kwa Timu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

#UNTZ: UNCDF kuendelea kusaidia kujenga uwezo wa kifedha kuhudumia maendeleo

DSC_0053

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu kataka Wizara hiyo Dkt. Deogratius Mtasiwa, akizungumza kwenye mkutano wa watendaji waandamizi wa serikali kutoka katika Ofisi ya WaziriMkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) pamoja na waandishi wa habari kuhusiana na Programu ya Utafutaji Fedha Nchini kwa maendeleo ya wananchi (Global Local Finance Initiative (LFI) ambayo ilianza katika awamu ya...

 

10 years ago

Michuzi

MFUMO MPYA WA UONDOSHJI MIZIGO(TANCIS)KUONGEZA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

Kamishna wa Forodha na Ushuru kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Masamaki Kabisi akiwaeleza waandishi wa Habari juu ya faida za Mfumo mpya wa Uondoshaji Mizigo bandarini(TANCIS) ikiwa unasaidia katika kufanya makadirio ya kodi sahihi kulingana na taarifa sahihi zilizoletwa kwa kutumia mfumo huo, pia utasaidia wateja kujua sehemu mizigo yao ilipo na pia wanapaswa kulipa kiasi gani kulingana na mzigo wa mteja, wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfumo mpya wa undoshaji Mizigo (TANCIS) kuongeza uwazi na uwajibikaji

1

Kamishna wa Forodha na Ushuru kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Masamaki Kabisi akiwaeleza waandishi wa Habari juu ya faida za Mfumo mpya wa Uondoshaji Mizigo bandarini(TANCIS) ikiwa unasaidia katika kufanya makadirio ya kodi sahihi kulingana na taarifa sahihi zilizoletwa kwa kutumia mfumo huo, pia utasaidia wateja kujua sehemu mizigo yao ilipo na pia wanapaswa kulipa kiasi gani kulingana na mzigo wa mteja, wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam.

2

 

10 years ago

Michuzi

WATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBEMBELEA KAMPUNI YA KUHUDUMIA MIZIGO, NDEGE NA ABIRIA YA SWISSPORT INAYOTOA HUDUMA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA)

Meneja wa Huduma za Mizigo, ndege na Abiria wa Swissport, Stella Kitali, akiwaonyesha wataalam kutoka Wizara ya Uchukuzi, karatasi inayotumika kuonyesha aina za mizigo inayopakiwa kwenye ndege wakati wataalam hao walipotembelea Kampuni hiyo, mwishoni mwa wiki kuona huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).Meneja wa Huduma za Mizigo, ndege na Abiria wa Swissport, Stella Kitali, akiwaonyesha wataalam kutoka Wizara ya Uchukuzi, ngazi...

 

9 years ago

Habarileo

Dangote ‘kufumua‘ bandari ya Mtwara

UWEZO wa bandari ya Mtwara unatarajiwa kuongezeka mara dufu kufuatia kufunguliwa rasmi kwa kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bandari Mtwara watakiwa kuimarisha ulinzi

NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Dk. Cherles Tizeba, ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), mkoani Mtwara, kusimamia kwa umakini uimarishaji ulinzi kwenye bandari hiyo. Agizo hilo, alilitoa hivi karibuni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

EPZA, TPA kuendeleza bandari Mtwara

MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimefikia makubaliano ya uendelezaji wa hekta 10 za eneo huru la bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo...

 

10 years ago

Michuzi

TIPER kuongeza uwezo wa kuhifadhi mafuta kufikia mita za ujazo 213,000

 Mafundi wa kampuni ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER), wakitengeneza paa katika moja ya matanki mapya ya kampuni hiyo, wakati kampuni hiyo ikitaraji kuongeza uwezo wa kuhifadhi mafuta maradufu baada ya kukamirika kwa ukarabati wa matanki yake wawili ya mita za ujazo 36,600 kila moja ifikapo machi mwaka huu.Miongoni mwa matanki ya kampuni ya ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER) yanayofanyiwa ...

 

10 years ago

Michuzi

MICHEZO YA BANDARI 2014 MJINI MTWARA YAFUNGLIWA RASMI

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Ponsiano Nyami akizungumza na wanamichezo wa Bandari.
Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Bw. Peter Gawile akizungumza na wanamichezo wa Bandari.
 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Ponsiano Nyami akiikagua timu ya Bandari ya Dar es Salaam kabla ya kuwavaa Bandari Mtwara. Timu ya kuvuta kamba kutoka Bandari ya Dar es Salaam wakimenyana na wenzao wa Bandari Mtwara. Timu ya kuvuta kamba kutoka Bandari Mtwara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani