Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIPER kuongeza uwezo wa kuhifadhi mafuta kufikia mita za ujazo 213,000

 Mafundi wa kampuni ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER), wakitengeneza paa katika moja ya matanki mapya ya kampuni hiyo, wakati kampuni hiyo ikitaraji kuongeza uwezo wa kuhifadhi mafuta maradufu baada ya kukamirika kwa ukarabati wa matanki yake wawili ya mita za ujazo 36,600 kila moja ifikapo machi mwaka huu.Miongoni mwa matanki ya kampuni ya ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER) yanayofanyiwa ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tiper kutumia Sh19 bil. kuhifadhi mafuta

>Kampuni ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (Tiper), inatarajia kuongeza uwezo wake wa kuhifadhi mafuta mara mbili zaidi, baada ya kukamilika kwa ukarabati wa matangi yake mawili yenye mita za ujazo 36,600 kila moja ifikapo Machi, mwaka huu.

 

9 years ago

Bongo5

Mtandao wa Twitter kuongeza kikomo cha idadi maneno kwenye tweet moja kufikia 10,000 – ripoti

tweet limit

Mtandao wa kijamii wa Twitter inasemekana una mpango wa Kuongeza kikomo cha idadi ya maneno wakati wa Ku-tweet ‘character limit’ na kufikia maneno 10,000 kwa tweet moja.

tweet limit

Ripoti zinasema mpango huo mpya utatumika pia na kwenye ujumbe wa moja kwa moja – DM (Direct Message) ambapo sasa mtumiaji wa Twitter atakuwa na uwezo wa kutuma DM yenye maneno elfu kumi kwenye ujumbe mmoja.

kwa sasa Twitter inaruhusu mtu kuandika maneno yasiyozidi 140 kwenye kila tweet moja.

Inasemekana mpango huo...

 

5 years ago

Michuzi

EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.



Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenya yashinda dhahabu mita 3,000 na 10,000

Mwanariadha wa Kenya Ezekiel Kemboi ameshinda medali ya nne mfululizo katika mashindano ya dunia mjini Bejjing baada ya kuwaongoza Wakenya wenzake kushinda nafasi za kwanza nne bora.

 

11 years ago

Michuzi

TIPER YAIKABIDHI SERIKALI GAWIO LA SHILINGI 1,275,000.00

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servarcius Likwelile (wa pili kushoto) akipokea hundi yyenye thamani y ash. Bilioni moja ktoka TIPER gawio la hisa katika hafla iliyofanyika leo mjini Dodoma. Wa kwanza kshoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER Daniel Belair, Wa pili kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya TIPER Prof. Abdulkarim Mruma na Wizara ya fedha Kaimu Msajili wa Hazina Elius Mwakabinga (wa kwanza kulia). Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER Daniel Belair (kushoto)...

 

11 years ago

Habarileo

NFRA yaongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka

WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wameongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kutoka tani 241,000 za sasa hadi tani 400,000 mwaka 2016.

 

10 years ago

Habarileo

Wajipanga kuongeza idadi ya watalii kufikia milioni 3.3

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna TarishiKATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi amesema Serikali imejipanga kuongeza idadi ya watalii wanaoingia nchini kufikia milioni 3.3 baada ya miaka mitatu .

 

10 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AKAGUA MIUNDOMBINU YA KUHIFADHI MAFUTA TANGA


 Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene (wa pili kushoto) akikagua miundombinu ya kuhifadhi mafuta katika Bohari ya Kampuni ya GBP ya Tanga.  Nyuma ya Waziri ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Said Magalula. Wengine kutoka kulia ni Meneja Mkuu wa PICL, Michael Mjinja, Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi, Hosea Mbise na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya GBP ya Tanga, Badar Masoud. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa GBP, Bohari hiyo ina uwezo wa kuhifadhi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waethiopia na Wakenya wafuzu mita 5,000

Wanariadha 3 wa Ethiopia pamoja na wengine 3 wa Kenya wamefuzu katika fainali ya mbio za mita 5000 siku ya jumamosi mjini Beijing.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani