Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajipanga kuongeza idadi ya watalii kufikia milioni 3.3

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna TarishiKATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi amesema Serikali imejipanga kuongeza idadi ya watalii wanaoingia nchini kufikia milioni 3.3 baada ya miaka mitatu .

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Serikali kuongeza idadi ya watalii nchini

Serikali ya Tanzania kupitia ubalozi wake wa Washington DC, Marekani, imeanza mikakati ya kuongeza idadi ya watalii wanaotoka nchini humo kutoka 69,000 hadi kufikia 300,000 kwa mwaka.

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA NA FINLAND ZAKUBALIANA KUSHIRIKIANA KATIKA KUONGEZA IDADI YA WATALII NCHINI

Charles James, Michuzi TV

SERIKALI za Tanzania na Finland zimekubaliana kushirikiana katika kukuza sekta ya utalii nchini pamoja na sekta zingine za kimaendeleo lengo likiwa ni kuinua uchumi wa Nchi.

Makubaliano hayo yamefanyika leo jijini Dodoma wakati wa kikao cha pamoja kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof Adolf Mkenda na Waziri wa Maendeleo na Ushirikiano wa Biashara, Ville Skinnari.

Akizungumza baada ya mazungumzo hayo ambayo pia yalihudhuriwa na Balozi wa Finland...

 

9 years ago

Bongo5

Mtandao wa Twitter kuongeza kikomo cha idadi maneno kwenye tweet moja kufikia 10,000 – ripoti

tweet limit

Mtandao wa kijamii wa Twitter inasemekana una mpango wa Kuongeza kikomo cha idadi ya maneno wakati wa Ku-tweet ‘character limit’ na kufikia maneno 10,000 kwa tweet moja.

tweet limit

Ripoti zinasema mpango huo mpya utatumika pia na kwenye ujumbe wa moja kwa moja – DM (Direct Message) ambapo sasa mtumiaji wa Twitter atakuwa na uwezo wa kutuma DM yenye maneno elfu kumi kwenye ujumbe mmoja.

kwa sasa Twitter inaruhusu mtu kuandika maneno yasiyozidi 140 kwenye kila tweet moja.

Inasemekana mpango huo...

 

5 years ago

CCM Blog

IDADI YA WATALII HIFADHI YA TAIFA SAADAN WAONGEZEKA

 Sehemu ya wanyama aina ya Pundamilia wakila majani ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadani Mnyama aina ya Mamba akiwa pembezoni mwa Mto Wami unapita kwenye Hifadhi ya Taifa ya Saadan akiota jua Wanyama aina ya Twiga wakijivinjari ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan kama walivyokutwa Wanyama aina ya Swala wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan wakila majani Sehemu ya watalii wakiwa kwenye gari la wazi wakifanya utalii ndani ya hifadhi hiyo kama walivyokutwa
 Mnyama aina ya Ngiri akila...

 

5 years ago

Michuzi

IDADI YA WATALII HIFADHI YA TAIFA SAADAN WAONGEZEKA

 Sehemu ya wanyama aina ya Pundamilia wakila majani ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadani Mnyama aina ya Mamba akiwa pembezoni mwa Mto Wami unapita kwenye Hifadhi ya Taifa ya Saadan akiota jua Wanyama aina ya Twiga wakijivinjari ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan kama walivyokutwa Wanyama aina ya Swala wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan wakila majani Sehemu ya watalii wakiwa kwenye gari la wazi wakifanya utalii ndani ya hifadhi hiyo kama walivyokutwa
 Mnyama aina ya Ngiri akila majani...

 

11 years ago

Habarileo

Tanapa kuongeza watalii Hifadhi za Kusini

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (Tanapa), limesema lina mpango wa kuongeza idadi ya watalii katika Hifadhi za Kusini na kukuza utalii wa ndani. Taarifa iliyotolewa na Idara la Mawasiliano ya Tanapa, imebainisha mkakati huo wa kuongeza watalii utahusisha ubora kupanda kwa ubora wa huduma, ikiwa ni pamoja na malazi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa yaongezeka hadi kufikia 700 Kenya

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 700 baada ya wagonjwa wapya 28 kuthibitishwa katika kipindi cha saa 24.

 

10 years ago

Michuzi

TIPER kuongeza uwezo wa kuhifadhi mafuta kufikia mita za ujazo 213,000

 Mafundi wa kampuni ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER), wakitengeneza paa katika moja ya matanki mapya ya kampuni hiyo, wakati kampuni hiyo ikitaraji kuongeza uwezo wa kuhifadhi mafuta maradufu baada ya kukamirika kwa ukarabati wa matanki yake wawili ya mita za ujazo 36,600 kila moja ifikapo machi mwaka huu.Miongoni mwa matanki ya kampuni ya ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER) yanayofanyiwa ...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUONGEZA IDADI YA NDEGE KUBEBA MINOFU YA SAMAKI



Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akifafanua jambo wakati akifungua mkutano wa pili wa kujadili namna ya kurahisisha usafirishaji wa minofu ya samaki kutokea Kiwanja cha Ndege cha Mwanza uliofanyika jijini Dodoma. Kikao hicho kimewakutanisha viongozi wakuu wa Wizara tano kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani